Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Niliamka saa kumi usiku baada ya kuona hizi wiki mbili naumwa Kila siku kichwa, nahara, kitambi chote kwishaaa mkanda nimetoboa matundu sita mpya mpaka sasa. Nikaona kabisa huu ni ukimwi...
14 Reactions
96 Replies
1K Views
RAM ya Desktop brand new 8GB ddr4, haijafunguliwa, bei 30,000 tu. Location Dar 0689666047
0 Reactions
2 Replies
31 Views
Nimeshtushwa na taarifa za Al hilal ya ibenge kiruhusiwa kucheza NBC premier ligi .,. kiukweli ni habari njema sana Kwa kukua Kwa ligi yetu .... But Leo nmejifikiria sana kama mchambuzi mahiri wa...
1 Reactions
3 Replies
81 Views
Habari Za Leo Ndugu Zangu. Natafuta MCHUMBA Ambaye baadaye Tunaweza Kuwa Mume na Mke. SIFA ZANGU. 1. Elimu Chuo 2. Umri Miaka 28 3. Nimeajiriwa SIFA ZA MCHUMBA 1. Awe Anajitambua 2. Mkristo...
0 Reactions
2 Replies
30 Views
Mwarabu amewaonea huruma, mnataka au Hamtaki? ====== ATANZANIA wataanza kunufaika na fursa za ajira nchini Oman baada ya kuhitimishwa kwa majadiliano ya kuratibu ajira hizo kwa ajili ya...
7 Reactions
151 Replies
7K Views
Kuna tetesi kwamba Viongozi kadhaa wa Chadema watatembelea Nchi ya Vatican hivi karibuni Haijafahamika kama ziara hiyo ina Ratiba ya Viongozi hao kukutana na Baba Mtakatifu Papa Francisco...
0 Reactions
0 Replies
7 Views
Wakati Rais wa awamu ya tano hayati Magufuli akitangaza kwamba Tanzania inaenda kutekeleza mradi wa kufua umeme wa bwawa la Mwl Nyerere kwa gharama yoyote bila kuangalia makunyanzi ya mtu yoyote...
3 Reactions
16 Replies
496 Views
Kabla ya Uchaguzi boss alitaka amuweke mrithi wake kwenye kampuni yake, mrithi anayemtaka yeye. Ila kutokana na upinzani mkubwa ndani ya kampuni maamuzi magumu ilibidi yafanyike Baada ya Uchaguzi...
213 Reactions
10K Replies
3M Views
Ni 2017 nlikuwa nachati na wadau whatsapp mida ya saa tatu usiku, muda huo umeme ulikuwa umekatika, simu ikawa inakaribia kuisha chaji nikaona sio mbaya niweke status. Nikiwa nimeingia sehemu ya...
10 Reactions
16 Replies
687 Views
Mkurugenzi wa shirika la reli nchini, Masanja Kadogosa amesema treni ya SGR itatumia saa moja na nusu kutoka DAR mpk Moro na itatumia msaa 3 kutoka DAR mpk Dodoma. Ndipo waziri wa uchukuzi prof...
11 Reactions
47 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,837,663
Posts
49,110,126
Members
662,952
Latest member
Bad Guys
Back
Top Bottom