Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Naomba kuuliza juu ya Tangazo hili kama ni la kweli, maana linasambaa sana. [emoji120]
7 Reactions
65 Replies
4K Views
Yani mimi na kufanya yote nchi hii ila suala la kununua ardhi ni muoga sana. Ukiona malalamiko kesi za ardhi ni nyingi kuliko nyingine. Kuna jamaa alinunua ardhi kwa ajili ya sheli kumbe wana...
10 Reactions
31 Replies
1K Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
112 Reactions
381K Replies
10M Views
Msimu uliopita makolo walijigamba kuwa wachezaji wake wote waliibiwa Kwa Yanga pale walipokanyaga tu airport....Kwa msioelewa ni hivi ....Yanga inatafuta wachezaji then inawakodia ndege but...
1 Reactions
1 Replies
47 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
121 Reactions
510K Replies
29M Views
Salaam Wanajukwaa Kama ilivyo desturi yetu Wanajf kujuzana, kuelimishana nk.. Leo ningeomba kufahamishwa kwa wenye uzoefu je kwa mtaji wa Milioni 2 naweza fungua biashara hizi mbili 1.Saloon ya...
1 Reactions
7 Replies
122 Views
Mbunge wa Konde (ACT Wazalendo), Mohamed Said Issa ameitaka Serikali kurejesha upya utaratibu wa watu wote wanaoingia Zanzibar kuwa na hati ya kusafiria. Akichangia makadirio ya mapato na...
10 Reactions
147 Replies
4K Views
Shaaban Kissu MC wa Taifa ndiye the most paid Radio presenter so far, akiwa TBC Na sasa AMG Analipwa zaidi ya milioni tano kwa mwezi, sababu ya kuwa hivyo inatokana na kuwahi kuteuliwa kuwa mkuu...
13 Reactions
39 Replies
2K Views
Katika kuendeleza tasnia na kumpongeza Kwa mafanikio katika fani wasanii nchini, wamepanga kumtungia wimbo maalum Msanii mwenzao Msechu, P. Heko Bongo Celebrities
0 Reactions
4 Replies
22 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,129
Posts
49,475,429
Members
666,599
Latest member
abuutz42
Back
Top Bottom