Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari za muda huu....... Kumeripotiwa milipuko mikubwa kadhaa ndani ya Iran, Syria na Iraq.......... ==== Israeli missiles have reportedly hit the Iranian city of Isfahan Israeli...
8 Reactions
396 Replies
10K Views
Kabla hata report ya CAG haijatoka kamati ya kuombea watuhumiwa msamaha kwa Mama ilikuwa imeisha anza kazi zake ikiwemo kuwaita watuhumiwa na kuwahoji na kuwataka wakili makosa na kuahidi kuto...
2 Reactions
14 Replies
308 Views
Nimekusikia ukiwa Musoma,eti kwa sasa mapato yameongezeka na hakuna anayeporwa fedha, hizi ni siasa maji taka, na kwa taarifa yako kumgusa hayati MAGUFULI ni kujidhalaurisha kwa watanzania makini...
30 Reactions
112 Replies
2K Views
Wote tumeona na kusikia Kikichotokea Hanang na maeneo mengine kama Arusha, Geita na Baadhi ya Nchi jirani Kwa kukumbwa na Mafuriko na maporimoko ya Mawe na uongo. Kwa tahadhari tu, unapochagua...
6 Reactions
30 Replies
1K Views
Chama umepewa, kusimamia serikali na Ilani ya chama. Ila kuna sehemu unakwama. Jambo utakaloliweza ni kukutuliza chama/kupunguza kasi ya vuguvugu chamani. Ila huku kitaa unapwaya. Wanao kuja...
2 Reactions
19 Replies
468 Views
Niaje waungwana Naona hata hapa ni wayahudi wa wachache wa bonyokwa ndio wamejitutumua ku report kashambulio ka Israel, ambako kimezuiwa mara moja bila kuleta madhara. Kila mtu anakumbuka...
4 Reactions
20 Replies
167 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
922 Reactions
1M Replies
39M Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
40 Reactions
50K Replies
3M Views
Pep Guardiola na Man City yake wanaenda kutwaa ndoo ya UCL hapo juni mwaka huu. Man City kabla ya fainal atakutana na wachovu Real Madrid, ambapo mechi ya kwanza Bernabeu itaisha droo ya 1-1...
24 Reactions
134 Replies
8K Views

FORUM STATS

Threads
1,846,725
Posts
49,427,901
Members
666,044
Latest member
mkamburi kilasama
Back
Top Bottom