Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kutoka kwa mchambuzi wa masuala ya soka, Edo Kumwembe ambaye amefunguka sakata la mshambuliajiwa Pyramids Fc ya Misri, Fiston Mayele kuwatupia madongo waajiri wake wa zamani, Klabu ya Yanga...
4 Reactions
16 Replies
364 Views
Hakuna aliyesahau kwamba Waliopitisha Kikokotoo kwa kishindo ndani ya Bunge ni Wabunge wa CCM , Akiwemo huyu anayeitwa Musukuma, meza ziligongwa nusura zitoboke kwa kushangilia kikokotoo. Sasa...
9 Reactions
40 Replies
784 Views
Leo napenda niwaambie sababu kubwa ya Israel kulindwa na mataifa ya magharibi na Baadhi ya nchi za kiarabu. Naweza kusema sababu kubwa ni Iman za Dini na mind set za watu hasa Waafrika sababu...
3 Reactions
22 Replies
265 Views
Habari za muda huu....... Kumeripotiwa milipuko mikubwa kadhaa ndani ya Iran, Syria na Iraq.......... ==== Israeli missiles have reportedly hit the Iranian city of Isfahan Israeli...
6 Reactions
379 Replies
8K Views
Wakuu, Wewe mbunge unajua upo hapo kuwakilisha wananchi, au unawakilisha kundi fulani kama watu wenye ulemavu nk, lakini mwanzo mwisho mama ametenda hiki, mama ametenda kile, hakuna kama yeye...
3 Reactions
25 Replies
429 Views
VIONGOZI WA UWT WASHUHUDIA ATHARI ZA MAFURIKO RUFIJI, WATOA MSAADA WA CHAKULA NA MAHITAJI MAALUM Viongozi wa kitaifa wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wametembelea eneo la Muhoro...
0 Reactions
4 Replies
146 Views
Bei ya maji kwa Dar es Salaam ni Tsh. 1,663 kwa Unit moja(1) ambayo ni sawa Lita 1000 za maji, yaani Madumu 50 makubwa ya Lita ishirini. Wapangaji wengi wakiamia kwenye Nyumba za kupanga za...
4 Reactions
23 Replies
380 Views
Iko hivi i will be short. mzize ni copy paste ya kibu denis. worthless in front of the goal. ila kwenye swala la mikimbio yupo vyema sana. my views kwa mzize 1. Mzize ni useless player in...
4 Reactions
36 Replies
531 Views
Ni ushauri tu kwa Serikali yetu tuanze Kuwa makini mgogoro wa Israel na Iran hautaisha Leo wala kesho Ahsanteni Sana Jumaan Mubarak
1 Reactions
4 Replies
37 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,714
Posts
49,427,373
Members
666,036
Latest member
Idrisy Nassiry Ragy
Back
Top Bottom