Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wanaharakati huko mtandaoni X wanadai Vijana wa Sasa Wengi hawakushuhudia utendaji Kazi uliotuka wa hayati Mkapa ila wamebahatika kumshuhudia hayati Magufuli tu Maria Sarungi & co kwahiyo...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kutokana na Takwa la KIKATIBA kuwa Mbunge lazima awe Mwanachama wa Chama cha siasa na Mbunge anapoteza SIFA ya kuwa MBUNGE pindi anapofukuzwa UANACHAMA na chama chake. Halima Mdee na Wenzake...
0 Reactions
4 Replies
40 Views
Hongera Tanzania's sweetheart! Hakika unastahili pongezi Kwa kazi nzuri.
18 Reactions
73 Replies
5K Views
Habari zenu WanaJF mko poa kabisa, Bila kuchelewa niende kwenye mada ya leo, Niko Dodoma kibiashara nilichojione kinaleta raha Fulani hivi, aisee Dodoma kutamu jamani. Nilianza na upande wa...
36 Reactions
330 Replies
12K Views
Wasalam mabibi na mababu... Toka tarehe 14/4/2024 Tume huru ya uchaguzi imetoa tangazo la nafasi za kazi za muda katika kuboresha Daftari la kudumu la mpiga Kura. Katika Jambo lililonishangaza...
2 Reactions
4 Replies
108 Views
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali. Matokeo ya kura...
30 Reactions
114 Replies
3K Views
Wamiliki wa Magari ya Mizigo Dereva nipo Tuwasiliane Mnipe kazi . Bidii | Juhudi | Umahiri ndo falsafa yangu 0686065052
2 Reactions
5 Replies
186 Views
Hili walilofanya gazeti la mwananchi lilikuwa ni kusudio kuu la kujaribu kuzidi kumtukana raisi samia kupitia mtangulizi wake marehemu Magufuli. Kama walivyosema familia kila anayemdhihaki...
0 Reactions
1 Replies
28 Views
Good evening Moja kwa moja kwenye mada,naishi mkoa tofauti na ambao familia yangu inaishi ,baada ya kuhamishwa kikazi. So mweiz huu nikaamua kuchukua likizo ya like mwezi mmoja hivi nikapumzike...
5 Reactions
28 Replies
303 Views
Shirika la Fedha la Kimataifa IMF liketoa orodha ya Nchi 15 Zenye Uchumi Mkubwa Barani Afrika huku Tanzania ikishika nafasi ya 9. Kwenye orodha hiyo Nchi ya Afrika Kusini imeongoza na kuzipita...
4 Reactions
100 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,848,486
Posts
49,487,208
Members
666,756
Latest member
Tony brayer
Back
Top Bottom