Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nachompendea huyu Aunt ni uwezo wake wa kufuatilia mambo kwa ukaribu, of course kipindi kile cha Corona kuna mambo alichemka kama binadamu lakini kwa sasa anafanya kazi ambayo inatakiwa...
7 Reactions
32 Replies
460 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
922 Reactions
1M Replies
39M Views
BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), imemtangaza Ahmed Arajiga kutoka mkoani Manyara kuwa mwamuzi wa kati wa mchezo wa Simba na Yanga utakaopigwa, Jumamosi hii. Katika mchezo huo, Mohamed Mkono...
1 Reactions
22 Replies
518 Views
Nina miaka kadhaa ninatumia decoder ya startime husema burudani kwa wote lkn nimefuatilia naona ni burudani kwa wachina na wakorea sina ninacholifaidi Sasa kwa mwenye uhitaji na hiyo king'amuzi...
0 Reactions
2 Replies
5 Views
Ndio ni ratiba ya siku nzima kutoka mawio hadi machweo. Nataka kujifunza kitu. Pia kama mstaafu ni wewe mwenyewe sio mbaya ukashare pia. Sharing is caring.
3 Reactions
30 Replies
385 Views
MRADI WA MACHIMBO YA DHAHABU NYANZAGA KUANZA UTEKELEZAJI WAKE MAPEMA -Waziri Mavunde akutana na Kampuni ya Perseus Dodoma leo -Awataka kuharakisha uendelezaji wa mradi -Asisitiza...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kwanin naliuza ! Nauza kwa sababu nimetumia pesa zangu kufatilia na kupoteza muda mrefu nikifatilia na Sasa Ni biashra nzuri San na in pesa nzuri Haihitaji efd mashine wala tra kukufatilia Zaid...
4 Reactions
42 Replies
411 Views
Habari zenu wadau wa Jamii forums, Leo nimekuja na suala dogo tu kuhusiana na teknolojia faida zake na hasara katika maisha yetu ya kila siku. Teknolojia imeleta mapinduzi makubwa katika maisha...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Habarini wana JF, Leo nimekaa nimewaza sana na kujiuliza maswali mengi ambayo nimependa kushare nanyi. Je, roho itakapotoka tutakua na hisia kua tumeshafariki? Tutaweza kuona matukio...
2 Reactions
22 Replies
307 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,792
Posts
49,429,650
Members
666,056
Latest member
regluccy
Back
Top Bottom