Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habarini wakuu Kesho kutwa jioni kama sio alasiri (16 April 2024) nitakuwa Dodoma mjini nikitokea mkoani Mbeya safari ikianzia wilayani Chunya kiofisi zaidi,kwa wenyeji wa maeneo hayo nitafurahi...
1 Reactions
10 Replies
229 Views
Dkt Mwigulu Nchemba hivi karibuni alifanya ziara yake Wilayani Iramba na karibia sehemu zaidi ya kumi mwanae Isaac Mwigulu Nchemba alipata nafasi ya kuhutubia. Sehemu zote hizo mwanae huyo...
4 Reactions
30 Replies
639 Views
Balozi kazi yake ni kutetea raia zake lakni ubalozi wetu wa Tanzania uliopo Uturuki haufanyi kazi hii badala yake umekuwa ukishirikiana na jeshi la polisi la Uturuki kuwaondosha watanzania nchini...
2 Reactions
27 Replies
521 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
922 Reactions
1M Replies
39M Views
FAHAMU MIFUMO YA ULINZI WA ANGA WANAYOTUMIA ISRAEL, NOMA SANA HII 1. Irone Dome Huu ndio mfumo maarufu zaidi, unazuia makombora kutoka umbali wa kilomita 4 mpaka 70. Isingekuwa mfumo huu huenda...
1 Reactions
5 Replies
134 Views
Hamjambo wana jf, Kwanza nianze kujitambulisha mimi ni mkristo ninayempenda yesu. Swali langu ninaomba kufafanuliwa juu ya maneno haya. 1. Kanisa ni mtu ama mkusanyiko wa watakatifu ama...
3 Reactions
47 Replies
386 Views
Habari wanachama wa JF, Kwa mwenye uelewa wa kitengo hiki naomba anijuze gharama za kupima kipimo cha DNA.
2 Reactions
36 Replies
541 Views
Nimeitoa huko twitter, Nasikia yule mtangazaji mpiga kelele ambaye angekuwa pastor huenda angefit na kuprove well maana ile sauti ya mjuba siyo ya kusomea tu magazeti. Bila kupoteza muda ni...
0 Reactions
21 Replies
395 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Udaktari wa Heshima kutoka Chuo Kikuu cha Ankara, Uturuki, leo Aprili 18, 2024 kutambua Jitihada zake za Kuendeleza Mageuzi...
0 Reactions
1 Replies
7 Views
Nimesikiliza kauli za kijana wa UVCCM huko Kagera akizungumzia kupoteza watu kutokana na kumtukana Rais,na pia nimemsikiliza Dr Nchimbi akipinga kauli hiyo kwa nguvu,kwenye ziara zake.Kwa mawazo...
0 Reactions
1 Replies
67 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,434
Posts
49,417,492
Members
665,948
Latest member
Elionweest21
Back
Top Bottom