Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Haya Sasa, huko Simba hali ni mbaya sana. Try Again anairoga Simba ifungwe ili Mo aachie timu. Upande wa Mo na wenyewe unaonekana kuhaha Hadi Cameroun kusaka ushindi dhidi ya Yanga ili kuwapa...
1 Reactions
14 Replies
661 Views
Mimi ni shabiki wa Simba kindaki ndaki lakini kwangu mimi natoa ushindi kwa Yanga Africans kwa asilimia 100%. Yanga wana fitness, na vijana wana hari. SIMBA inakata moto mapema sana ; Yanga...
1 Reactions
7 Replies
129 Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
265 Reactions
161K Replies
4M Views
The Weekend - Out of Time
17 Reactions
3K Replies
64K Views
  • Poll
INTRO Watu wengi wanaopenda kudadisi na kutafakari undani na ukweli wa mambo . Mara nyingi hugundua kwamba mfumo wetu wa maisha kiujumla una maswali mengi sana abayo hayana majibu kamili...
73 Reactions
4K Replies
246K Views
Dunia ya leo watu wengi hufanya utalii wa ndani au wa nje ya nchi zao si kwa ajili ya vivutio vya asili vya mazingira na majengo tu bali kwa ajili ya kufurahia utalii wa vyakula vya asili na...
17 Reactions
2K Replies
39K Views
Homa ya Kariakoo Derby inazidi kupanda, siku ya kumaliza ubishi imewadia. Leo jioni kuanzia saa moja miamba hii itakutana kutafuta point tatu muhimu kuendeleza marathon za Ligi Kuu ya NBC. Yanga...
0 Reactions
7 Replies
8 Views
wakuu habari yenu,natumaini muwazima wa afya. katika kipindi hiki tunapitia mambo mengi sana kiasi kwamba tunachanganyikiwa na sometime tunakosa la kufanya. katika harakati zangu za kila siku...
0 Reactions
2 Replies
17 Views
Nimeona wanaume wengi kwenye mitandao ya kijamii wakilalamika jinsi wanawake wa siku hizi wanavyopenda pesa, ukiwachunguza hao walalamikaji utagundua hawana hela Ila wanatamani kuoa. Hivi umewahi...
38 Reactions
184 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,846,907
Posts
49,434,362
Members
666,120
Latest member
cosmas obadia mafuru
Back
Top Bottom