Wakuu kuna mambo huwa yanatokea unabaki unajiuliza ni mimi kweli yamenikuta. Kifupi nilikuwa sikuwahi waona kunguni mpaka umri huu zaidi ya kusikia story tu. Na akili yangu iliamini kunguni ni kwa...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Ndio hivyo, kiongozi anatakiwa kupinga mambo ya kijinga hadharani. Tunasubiri la kijana wa Arusha.
---
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amekemea kauli zinazoweza...
Jordan imekiona kitisho cha vita baina ya Iran na Israel na imeanza kujiweka mbali na Israel.
Katika kujitetea kwanini walidungua droni za Iran zilizokuwa zikielekea Israel,nchi hiyo ya kifalme...
Hivi mtu unatokaje huna hata mia? Aibu nyingine zinaepukika kuwa na akiba ya hela yako binafsi ni muhimu sana. Hii inawakumba sana Ke wengi.
Back up plan ni muhimu sana.
Serikalini na wananchi wake wamekuwa ni wabaguzi wa kutupwa na kusababisha psychological torture kwa baadhi ya wahitimu,haiwezekani mtu amesoma mpaka chuo then unarelate maisha yake na mtu wa...
Kauli aliyoitoa Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera Faris Buruhan ni ya HATARI kwa Usalama wa Nchi na hata Ustawi wa watu wake hivyo kitendo cha CCM Taifa hadi hivi sasa kuinyamazia ni Uthibitisho...
Wanaukumbi.
Iran inaadhimisha Siku ya Jeshi la Kitaifa kwa gwaride kubwa la kijeshi, kuonyesha utayari vita kamili na ulinzi wa nchi na mafanikio ya hivi karibuni katika sekta hii.
Kumbuka Iran...
Habari wakuu. Shida ya alarm ya mafuta kuwa yameisha inanisumbua. Nimeweka mafuta ya elfu 20 lakini nilipotembea km 6 tu ikaanza kuflash. Nikaamini shell wameniibia, nikaongeza ya elfu 10. Lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.