Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kesho Ni ijumaa kuu kwa kifupi Ni njia ya msalaba bwana yesu wetu kristo alipitia ktk mateso yake Najuwa hatutakula nyma kabsa je Ni hatari na haramu nikila samaki Msaaada naombeni
1 Reactions
38 Replies
319 Views
Facial expression na kauli za Mama leo baada ya kuwasilishwa kwa ripoti ya CAG na TAKUKURU ni kama vile Mama hakuwa na raha na GAG zaidi mzani ulielemea kwa TAKUKURU
2 Reactions
1 Replies
58 Views
Binti (Miaka 19) yupo kwa Basi, anatoka zake Dar kwenda Uyulo-Mbeya kumsalimu Shangazi yake, anawasiliana nae kwa Simu akiwa safari, lakini anafika Iringa Simu inakata Chaji. Binti anamuomba Simu...
6 Reactions
82 Replies
3K Views
The Weekend - Out of Time
16 Reactions
3K Replies
58K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja linawashikilia watu kumi na mbili kwa tuhuma za kukutwa wakila mchana hadharani kipindi hiki cha Mwezi mtukufu wa Ramadhan ambao wanaifanya kuwa...
11 Reactions
164 Replies
3K Views
Salaam,Shalom. Mimi ni Mtanzania mzalendo wa Nchi yangu nzuri Tanzania, naijua thamani ya Bendera ya Taifa LANGU. Bendera yetu ya Taifa Ina RANGI kuu nne, Bluu, Njano, Kijani na Nyeusi. RANGI...
2 Reactions
38 Replies
490 Views
Tangu nizaliwe sijaona mwanamke anaupwiru kama huyu. Yaani ukitua kitandani tu mikono mwilini anataka show. Ukipiga show ya kawaida. utakuta bado anakupapasa hapo ujue ushavurunda. Ukimpiga show...
54 Reactions
275 Replies
10K Views
Amani iwe kwenu. Mimi siyo muumini wa uchawa na wala siyo chawa. Huyu mzee wetu alikuwa chuma haswa kiutendaji Kwa nafasi alizowahi kuzishika. Mama Samia kama itakupendeza kama Mzee wetu Agrey...
3 Reactions
7 Replies
216 Views
Nimefika kwenye kimgahawa kimoja, nikaenda kwenye matunda nikakuta mdada ameshika sahani ya chakula. Chakula kilikua kiugali kidogo kama vitonge vitatu, na vinyama huku akisusubiri matunda. Kwa...
16 Reactions
48 Replies
1K Views
Bandari imeshindikana Hadi mmewapa DP world! Sasa na mabasi Tena jamani!!?haya mabasi ya mwendokasi TU haya yamewashinda serikali!!?yaani nchi imeshindwa kusimamia mabasi TU yaani imeshindwa...
1 Reactions
17 Replies
122 Views

FORUM STATS

Threads
1,840,400
Posts
49,200,653
Members
664,016
Latest member
urioamu
Back
Top Bottom