Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
NILIEMDHANIA NI KAHABA KUMBE BIKRA
MTUNZI:SINGANOJR .
AGE:18+
NB:SIMULIZI HII NI YA KUTUNGA
PDF KUTOKA SEHEMU YA KWANZA MPAKA YA 390 IPIO NITAFUTE WATSAPP 0687151346
PROLOGUE../DIBAJI...
Jeshi la Polisi limetuhumiwa kutotoa ushirikiano kwa watu wanaofikisha malalamiko ya kupotelewa Ndugu zao ambao inadaiwa wametekwa na Askari wa Jeshi hilo.
1. Jenga nyumba mapema. Iwe kijijini kwenu au mjini. Kujenga nyumba ukiwa na miaka 50 sio mafanikio. Usizoee nyumba za serikali. Faraja hii ni hatari sana. Hebu familia yako yote iwe na wakati...
Poleni Kwa majukumu wadau
Kuna habari kuwa Rwanda imejipanga kuwapokea wakimbizi Toka ulaya. Ninacho dadisi ni je? Rwanda itafaidika kwa lipi?
Nawasilisha
Kuna mahali nimepita, mazungumzo niliyo yakuta yakiongelewa kuhusu Bw. Robert Mushi maarufu kama Babu G, ninashauri iundwe tume huru kuchunguza kifo chake.
Katika tume hiyo,polisi isihusishwe...
Mbunge wa Konde (ACT Wazalendo), Mohamed Said Issa ameitaka Serikali kurejesha upya utaratibu wa watu wote wanaoingia Zanzibar kuwa na hati ya kusafiria.
Akichangia makadirio ya mapato na...
Hi kauli ya marehemu iliyowai kuzua gumzo kila Kona ya nchi na nnje, jamaa alishiba pesa za kusaga akaanza kutoa kauli zenye utata, ati mwanamume lzm uwe na pesa ndio umuoe binti ake yaani uwe...
Benki ya Dunia imesitisha kutolewa kwa Fedha kwa ajili ya Mradi wa REGROW Nchini Tanzania.
Mradi huo wa dola za Marekani milioni 150 ulianza Mwaka 2017 kwa lengo la kuendeleza Rasilimali za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.