Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ni jambo la busara sana. Kuinua uchumi wa nchi. Mama abarikiwe sana. Ametuona kwa kweli. Magari mengi yalikuwa ni model iliyopita kwa kutununulia haya na hizi mvua kwa kweli ametutia moyo sana...
0 Reactions
10 Replies
81 Views
  • Sticky
Full name: Futbol Club Barcelona Nickname(s): Barça or Blaugrana (Team) Cules or Barcelonistas (Supportes)...
48 Reactions
33K Replies
2M Views
Kila kukicha TANZANIA haikosi vituko. Tume ya madini tuambieni mtumishi jina kuanza na neno CPA, ni nini maana yake na kirefu chake ni nini. Mfano ni huu hapa👇 1. CPA. William E. Mtinya...
3 Reactions
19 Replies
524 Views
Eti kawalika wasanii waje wamsadie kupokea mwenge Kina baba level , diamond nk wote wako pangani kukeshq na mwenge Wilaya nzima Ina watu elf 70 Nimeambiwa wamelipwa milioni 600 jamaa wafanye...
0 Reactions
3 Replies
4 Views
Wasalaam wanaJF wenzangu! Wakuu naomba kufahamishwa maana ya roho, nafsi na mwili. Asante
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Kuna watu humu walianzisha mahusiano kwa mbwe mbwe sana, mpaka sisi ambao hatukuwa na mahusiano tukajiona labdo dunia hii sio sehemu yetu sahihi ya kuishi. Ilikuwa kila sehemu wakipitia nyuzi...
38 Reactions
709 Replies
13K Views
Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amesema katika mwaka 2024/25, TAMISEMI imepanga kutumia shilingi bilioni 190.57 kwa ajili ya ununuzi wa magari ya Viongozi wa Mikoa na Wilaya, kuendelea na...
0 Reactions
5 Replies
128 Views
Suala la kikokotoo limekuwa ni mwiba mkali kwa wastaafu katika nchi hii huku kundi dogo la wanaofaidi keki ya taifa wakitaka kikokotoo kiwepo kwa wastaafu wakati wao hakiwagusi wanachumua...
2 Reactions
10 Replies
281 Views
Harmonize sio authority yoyote katika uislamu. Harmonize alisha ukana uislamu kwa vitendo tangu alipo ingia kwenye kazi ya muziki kwa sababu kwa mujibu wa mafundisho ya dini ya kiislamu muziki ni...
44 Reactions
193 Replies
3K Views
Salaam, Shalom! Maelfu ya watu wanaendelea kuhamishwa baada ya maji kufurika Kwa usiku mmoja tu na kufunika maelfu ya nyumba na miundombinu katika majiji ya Orenburg, Syberia na Euros nchini...
6 Reactions
26 Replies
784 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,037
Posts
49,404,895
Members
665,810
Latest member
Edga wakota
Back
Top Bottom