Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Meya huyo wa Zamani wa Kinondoni na Ubungo ameongozana na Wakili wake Hekima Mwasipu. Boniface Jacob ambaye ni Mwanachama wa Chadema amefikia kwenye kituo cha polisi cha Oysterbay akiwa sambamba...
2 Reactions
31 Replies
943 Views
Kama ungekuwa na uongozi ngazi za juu, ungekuwa au kuja na mpango au mbinu gani ya kuikuza Tanzania kiuchumi bila kumtwisha mzigo wa kodi au makato mengine mwananchi? Kumekuwa na mijadala...
0 Reactions
4 Replies
34 Views
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko bungeni jijini Dodoma, wakati akisoma hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Nishati kwa mwaka wa fedha 2024/2025 amesema: Katika mwaka 2023/24...
6 Reactions
73 Replies
2K Views
MAKALA YA 9 Leo tuangazie janga ambalo limekuwa likitokea katika nchi yetu kila baada ya miaka kadhaa. Kuanguka kwa Majengo 1.Sababu kuu za Kuanguka kwa Majengo ni kama zifuatazo MSINGI WA JENGO...
1 Reactions
10 Replies
267 Views
Labda nianze kwakusema wazi kwamba kwa mujibu wa sheria zetu Tanzania, Familia haiwezi kushitaki wala kushitakiwa. Kuelewa zaidi juu ya swala hili, nikukaribishe kuisoma Thread hii. ANGALIZO...
0 Reactions
3 Replies
129 Views
Shirika la Fedha la Kimataifa IMF liketoa orodha ya Nchi 15 Zenye Uchumi Mkubwa Barani Afrika huku Tanzania ikishika nafasi ya 9. Kwenye orodha hiyo Nchi ya Afrika Kusini imeongoza na kuzipita...
0 Reactions
18 Replies
204 Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
112 Reactions
382K Replies
10M Views
A
Anonymous
Mimi ni mkazi wa Njeteni, Kata ya Kwembe (Ubungo, Dar es Salaam) huku kwetu kuna kero ya barabara kuwa mbovu. Changamoto hiyo inasababisha ajali na usumbufu mkubwa hasa kwa watoto wa shule...
1 Reactions
5 Replies
392 Views
Muda mwingine huwa nawaza tu, hivi Hawa watoto walioko mtaani ni kosa au matokeo ya nani??. jibu ni sisi , ndio ni Mimi na wewe, Kama sio sisi, ni yule au wale. Haijalishi we ni mzuri auhandsome...
16 Reactions
135 Replies
1K Views
Kwa wale wapenzi wa kuangalia TV Drama/Series za Hollywood, lazima kutakuwa kuna nyumba umeipenda na ungetamani ungeishi humo. Leo tuangazie baadhi ya ramani hizo SEHEMU YA KWANZA 1.HOW I MET...
1 Reactions
6 Replies
256 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,402
Posts
49,485,348
Members
666,732
Latest member
kudojo
Back
Top Bottom