Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
916 Reactions
1M Replies
38M Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
120 Reactions
506K Replies
28M Views
Sisi watu tuna akili ndogo. Kwa nini hawa wakoloni hawakulazimisha elimu kwa jamii yetu lakini wakalazimisha dini ? Kwa malengo gani hasa tuzidi kuwa wapumbavu ? Mwafrika mweusi mwenzangu...
5 Reactions
16 Replies
130 Views
Habari wana theolojia. Mathayo, Marko, Luka na Yohana hawa walikuwa ni mashahidi wa macho waliopata kumuona na kumsikia Yesu Kristo, hata baadaye wakapata msukumo kupitia roho mtakatifu...
12 Reactions
230 Replies
3K Views
Kwenye mapenzi mbali na ngono kuna mambo ya kusaidina matatizo madogo madogo na hata makubwa kama yapo ndani ya uwezo wenu. Mfano mwanaume umemuambia mwanamke wako akuazime let's say Tshs 20,000...
7 Reactions
62 Replies
1K Views
"Kama ningeweza kukivuta kisiwa hicho katikati ya Bahari ya Hindi, ningefanya hivyo." Alisema kwamba anafikiri mojawapo ya matatizo makubwa ya Tanganyika katika miaka ya baadaye itakuwa Zanzibar...
2 Reactions
9 Replies
235 Views
Napenda kutoa tahadhari kwa idara ya ujasusi ya Tanzania kuongeza umakini juu ya ulinzi na usalama wa viongozi, uchumi, siasa na ulinzi wa RAIA. Kuna vikundi Vingi vya kijasusi kutoka nje...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
CAG Kichere amesema Hasara nyingine wanayoingia NHIF inatokana na Wastaafu na Wenza Wao kufaidika na Fedha za Mfuko huo Bila Wao kuchangia Kicheere amesema Wastaafu na Wenza Wao wanaugharimu...
5 Reactions
86 Replies
3K Views
Wakuu kwema? Wapi naweza pata kampuni zinazo provide VPS hosting. Kuna project zangu nimetengeneza na react na mern nahitaji ku deploy online Please nitashukuru sana
2 Reactions
4 Replies
95 Views
Video hii inaonesha mtu akichapwa fimbo huku akiambiwa "Hapa si bara" sababu za kuchapwa eti ni kwa kuwa amekula mchana chakula wakati wa Ramadhani. Hivi Zanzibar, mnawachukuliaje watu wa bara...
23 Reactions
464 Replies
7K Views

FORUM STATS

Threads
1,840,705
Posts
49,209,757
Members
664,077
Latest member
kingfj
Back
Top Bottom