Stephen Aziz Ki na Djigui Diarra bado sijawaona kambini na walipaswa kuwa wamerejea kutoka kwenye majukumu yao ya timu zao za taifa”
- Kocha Miguel Gamondi, Yanga Afrika.
Yapi maoni yako??
Hapana shaka kabisa Zanzibar imejibebea sifa nyingi hapa ndani katika jamhuri ya Muungano na nje ya nchi pia.
Na imebeba historia kubwa ya mambo ambayo inawafanya wageni kutoka mataifa mbali...
Video hii inaonesha mtu akichapwa fimbo huku akiambiwa "Hapa si bara" sababu za kuchapwa eti ni kwa kuwa amekula mchana chakula wakati wa Ramadhani.
Hivi Zanzibar, mnawachukuliaje watu wa bara...
On this thread, I shall be sharing my personal views on a number of issues that includes politics, religion, sports, language skills, motivational words among others.
My aim is to avoid...
Inaonekana wazi serikali haiwezi kuendesha shirika lolote. Mwendokasi na hasara za ATC ni mfano wa karibuni juu ya kushindwa huko. Mwendokasi unaenda kutafutiwa muwekezaji kutoka nje!! Huku ni...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Ni siku ya 4 leo nipo mjini Shinyanga kikazi, badi leo mwenyeji wangu akaniambia atanipitisha maeneo ya madada poa wa Shinyanga ili kujionea vijana wanavyo angamia na ngono zembe ndipo...
Sauli laxury imetoweka? Mbona barabarani hazionekani? Mwenye taarifa atusaidie.
Hizi scania ni kama utambulisho wa Nyanda za Juu Kusini hasa Mbeya.
Nini kumetokea?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.