Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
922 Reactions
1M Replies
39M Views
Diamond baada ya kulalamika kuwa kampuni ya Ziiki Media haitakiwa watoe wimbo wake na hivyo wanampango wa kuhuishusha lebel hiyo na mziki wake na wasanii wake! Kampuni hiyo nayo imemjibu Diamond...
4 Reactions
12 Replies
321 Views
Nilikuwa najiuliza kwa muda mrefu kwanini hizi biashara za mtaani kwanini hazikui kwanini watu hawatajiriki nyingi zinakufa Biashara hizi zilizopo mtaani Maduka ya vitu vya rejareja Maduka ya...
11 Reactions
45 Replies
2K Views
Bitcoin halving, linalojulikana pia kama "nusu ya zawadi ya block", ni tukio linalopangwa ambapo idadi ya Bitcoin mpya zinazotolewa kwa wachimbaji kwa kila block iliyothibitishwa hupunguzwa kwa...
0 Reactions
0 Replies
6 Views
Habari! Napenda kuchukua nafasi hii kuwasilisha kilio cha Watanzania wanoishi na kutumia barabara ya kuanzia madale mwisho kwenda mbopo had mabwepande. Hali ya barabara hii ni mbaya, ukijumlisha...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema “Baada ya kusikiliza kwa kina maelezo ya Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenari Venance Mabeyo aliyoyatoa Machi 16, 2024, nimeshawishika na ninawashawishi Wabunge...
20 Reactions
88 Replies
2K Views
Tukio la Jana la Israel kushambulia kwa ndege nchini Iran kujibu shambulizi la drones la Iran lililotangulia ni la kiwango cha juu kuashiria vita kamili . Hili Shambulizi lilipangwa kwa mkakati...
27 Reactions
108 Replies
5K Views
Wanajamvi najua itakuwa strange kidogo, kwasababu kila mtu katika maisha yake kuna kitu anaitaji kuki achieve.Na mimi kiukweli natamani kupata european woman wa kuzaa nae achana na io mi shangazi...
7 Reactions
47 Replies
1K Views
Ni semester ya mwisho sasa (6 semester), performance yangu hapa Duce ipo nzuri sana by the way hadi sasa Kwa semester tano za nyuma na average GPA ya 4.3. Lakini, Sina furaha kabisa kwani ndoto...
0 Reactions
9 Replies
125 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,917
Posts
49,434,652
Members
666,121
Latest member
cosmas obadia mafuru
Back
Top Bottom