Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Bila kupoteza muda ladies leo zamu yenu, hebu mtaje member wa kiume unayevutiwa naye… unaona kabisa huyu yupo kumtima. Na liwalo na liwe namtaja. Wanaume tulieni muone mnavyopendwa na ukitajwa...
17 Reactions
1K Replies
8K Views
Hossein Hosseini, mlinda mlango wa klabu ya soka ya Esteghlal ya Iran, ameitwa kwenye kamati ya nidhamu ya Shirikisho la Soka ili kuelezea tukio la kumkumbatia shabiki wa kike. Tukio hilo...
0 Reactions
3 Replies
4 Views
Zingatia hicho kichwa hapo juu Wanaume wengi muna tembea na laana za wanawake ndio maana wengi wenu hamfanikiwi kiuchumi wala kiroho na hata mkifanikiwa hamli matunda ya mafanikio yenu muna kufa...
16 Reactions
105 Replies
2K Views
Tumekuwa tunatumia nguvu nyingi kusifu na kuficha madhaifu ya Magufuli,ila Mungu kwa rehema zake amekuwa anayafichua kwa namna anayoitaka yeye. Wazee hawa wanadhihirisha dhulma kubwa iliyofanywa...
13 Reactions
29 Replies
1K Views
Naomba kuuliza juu ya Tangazo hili kama ni la kweli, maana linasambaa sana. [emoji120]
6 Reactions
52 Replies
3K Views
Maneno haya umeyasema kwa uwazi na ufasaha, fedha za kodi kwa maendeleo ni zetu wenyewe na tunapaswa kufanya juhudi kuzitafuta kwa bidii ili tulipe kodi tuendelee kama nchi. Ndio maana kuna...
1 Reactions
9 Replies
342 Views
Polisi wanaanza kuelewa kuwa upinzani siyo uadui! Baadhi ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa na mkoa wa Kagera wakiongozwa na askari polisi katika maandamano ya...
1 Reactions
10 Replies
316 Views
Haya mahusiano kwa kweli hayakuwa na tija kwangu. Nikitaka K nalipia yeye akitaka MBO_ o Nalipia. Yaani napigwa ndani nje. Sikuona faida. Binti nimemfahamu ndani ya siku mbili tu tayari anaanza...
0 Reactions
9 Replies
10 Views
Kufa kufaana... Karibu dukani kwetu mtaa wa Kalenga karibu na hospitali ya Taifa ya Muhimbili, njoo tukuuzie masanduku ya kisasa yakawaida na yakidijitali kwa gharama nafuu sana. Sema biashara...
1 Reactions
7 Replies
59 Views

FORUM STATS

Threads
1,847,793
Posts
49,465,966
Members
666,454
Latest member
Dr Sifael Mk
Back
Top Bottom