Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Licha ya umuhimu wa mto huo uliopo ndani ya Jiji la Mwanza, lakini ni kituko cha kila siku kuona uko hatari kwa uchafu wa mazingira na kusababisha madhara ya kiafya na kimazingira kwa watu...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Kwa wale ambao Huwa mnauliza wapi mnaweza kuwekeza na kufungua biashara basi sogezi siti. Tanzania Ina Jumla ya Halmashauri za Majiji,Miji na Wilaya 184,kati ya hizo ni Wilaya 60 ndio Zina...
8 Reactions
213 Replies
5K Views
Moto unawaka SSC! Ni vita kubwa! Klabu ya Simba ipo katika kipindi kigumu cha vita inayozidi kukomaa kila uchwao baina ya Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi ya Simba Salim Abdallah Muhene ‘Try...
29 Reactions
212 Replies
5K Views
Naifuatilia ziara yenu toka ilipoanza, hamna jipya kwa wananchi zaidi ya kupambana na Makonda kwa mafumbo. Tulitegemea muisimamie vyema serikali yenu, hasa Watumishi wazembe na wezi wa mali ya...
11 Reactions
70 Replies
1K Views
Balozi kazi yake ni kutetea raia zake lakni ubalozi wetu wa Tanzania uliopo Uturuki haufanyi kazi hii badala yake umekuwa ukishirikiana na jeshi la polisi la Uturuki kuwaondosha watanzania nchini...
6 Reactions
46 Replies
714 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
922 Reactions
1M Replies
39M Views
Huo ndio ukweli mchungu kwamba Makonda pamoja na mapungufu yake yote YEYE siyo Muoga Anatembea na Exodus 14:14 Dunia ya Leo inataka viongozi wasio waoga kama Trump 😂😂🔥 Kwenu Lucas na...
5 Reactions
60 Replies
432 Views
Kilichoipata Israel kutokana na kipigo cha Iran ni siri kubwa japo kidogo kidogo ukweli unaanza kujitokeza. Marekani imesema makombora 9 ya ballistic hayakushikika na yalitua kwenye kambi mbili...
7 Reactions
31 Replies
1K Views
Ankara | 17.04.2024 🇹🇿🇹🇷 Baraza la Seneti la Chuo Kikuu cha Ankara, chuo kikuu cha pili kwa ukubwa nchini Türkiye, limeamua kwa kauli moja kumtunuku Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan Shahada...
3 Reactions
33 Replies
330 Views
Unampeleka mkeo mjamzimto hospitali ama zahanati unakutana na doctor wa kiume ndo ampime na ikibidi mpaka kumzalisha anamzalisha. Yaani inakuwaje kuwaje anafunua sehemu ile na kuangalia kama...
13 Reactions
164 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,846,452
Posts
49,418,252
Members
665,947
Latest member
MBATIZAJI SAUTI YA RADI
Back
Top Bottom