Bila kupoteza muda ladies leo zamu yenu, hebu mtaje member wa kiume unayevutiwa naye… unaona kabisa huyu yupo kumtima. Na liwalo na liwe namtaja.
Wanaume tulieni muone mnavyopendwa na ukitajwa...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Full name: Arsenal Football Club
Nickname(s): The Gunners
Founded: 1 December 1886
League: Premier League
Website: arsenal.com
Ground: The Emirates Stadium, (Capacity: 59,867) - Pitch...
Tukiwa bado tunasherehekea kuteuliwa Kwa Mwadhama Protase Kardinali Rugambwa ambae ataapishwa huko Vatican tarehe 30 Septemba.
Ni vema kutambua Makardinali ndio humchagua Papa, kupitia haki hiyo...
Ukitaka uwe mtafutaji wa hela alatu uje ulalamike hela huioni na inapatikana wewe kuwa kwenye mahusiano ya kudumu na rundo la wanawake, wanawake wa sasa ni chazo kimoja wapo cha kutufilisi wanaume...
Nini sababu ya Mwanamuziki Nguli duniani lady jay Dee kuachana na mume wake wa ndoa? Mwenye kujua tafadhali ili tuweke rekodi sawa kwenye maandishi.
Cc: kataa ndoa
Zingatia hicho kichwa hapo juu
Wanaume wengi muna tembea na laana za wanawake ndio maana wengi wenu hamfanikiwi kiuchumi wala kiroho na hata mkifanikiwa hamli matunda ya mafanikio yenu muna kufa...
Wanakumbi.
🚨🇮🇱🇵🇸HAMAS: TUNAWASHIKILIA MAAFISA 30 WA ISRAELI "MAHALI SALAMA"
Madai yao yameibua wasiwasi kwamba baadhi ya mateka huenda walisafirishwa kutoka Gaza hadi Sinai nchini Misri ili...
Nimejaribu kufatilia kuna uchafu mwingi sana kwenye industry, na zama hizi mpaka msanii aonekane lazma labda adandie record label. Na ukidandia ndo hivyo tena unakua kama wakina rich mavoko, siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.