Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Bila kupoteza muda ladies leo zamu yenu, hebu mtaje member wa kiume unayevutiwa naye… unaona kabisa huyu yupo kumtima. Na liwalo na liwe namtaja. Wanaume tulieni muone mnavyopendwa na ukitajwa...
16 Reactions
919 Replies
7K Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
922 Reactions
1M Replies
39M Views
Enzi hizo Sinza kila baada ya nyumba kadhaa unakutana na sehemu ya ulevi, iwe grocery flani hivi ama baa. Sinza ilikuwa na baa maarufu kama Hongera, B-Bar, Lego, Vatican City, Waungwana...
10 Reactions
108 Replies
1K Views
Hello. Kwanini Diamond platnumz na Timu yake ya Wasafi ikiundwa na Zuchu,lavalava imeonekana Wanajitenga sana na wasanii Wenzao sio kwenye misiba wala sherehe. Au ndo masharti ya mganga wao.
0 Reactions
1 Replies
9 Views
Nimetoa sample ndogo ya hawa kaka zetu ili sisi team kataa ndoa tupate kujifunza. Kwa umaarufu wao wasingekosa hela ya kulipia bill hospitali, kwa umaarufu wao wasingekosa watu wa kuwapunguzia...
13 Reactions
54 Replies
1K Views
Askofu TD Jakes ambaye amemtumikia Mungu kwa miongo mingi amejiuzulu kwa madai ya kuwa na mahusiano na mmoja wa waumini wa kanisa lake. Source...
2 Reactions
42 Replies
2K Views
Wasimulia maisha ya Joseph Kaniki - Tanzania, Sweden na “unga” kutoka Brazil11/09/2013 0 Comments KanikiMaisha mazuri kwa mshambuliaji wa zamani wa Simba, Joseph Kaniki ‘Golota’ sasa ni ndoto...
0 Reactions
24 Replies
17K Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
40 Reactions
50K Replies
3M Views
Mmeamshwaje wakuu poleni na mvua zinazoendelea kutufikirisha. Jana niliangalia interview ya Milad na baba wa Gadna nachelea kusema baba yule yupo kwenye mtikisiko na msikitiko mkubwa sana...
4 Reactions
23 Replies
434 Views
Naomba tusaidiane ktk hili ili nipate ujuzi wa kubana matumizi, ivi unawezaje kuishi Kwa kipato cha million mbili Kwa mwezi ilihali mm hiyo pesa Sina mke Wala mtoto lkn inaisha kabla ya tar mosi...
20 Reactions
96 Replies
4K Views

FORUM STATS

Threads
1,847,767
Posts
49,464,982
Members
666,453
Latest member
Dr Sifael Mk
Back
Top Bottom