Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kuna wakati viongozi wa CCM hujaribu kuwatukana watanzania matusi ya rejareja Ni nani atakayeamini hiki wasemacho kina Kinana? Jambo la mapato kuongezeka, ni kweli linaendana na uhalisia? Mimi...
7 Reactions
27 Replies
460 Views
Nimeenda kumtembelea shangazi yangu yupo kimanga; aiseee! Sikuwai kuona barabara mbovu kama ile. Yaani ni siyo kwa mashimo yale. Binafsi kichwa, mgongo na kiuno vinauma. Sasa nikawa najiuliza...
0 Reactions
7 Replies
61 Views
Kichwa cha habari nahisi kimeeleza kila kitu kabisa, nahitaji maoni maana niko njia panda Kuzingatia hiyo pesa, nipate kiwanja na kukodisha frem ya biashara yeyoteee
0 Reactions
8 Replies
150 Views
[emoji599] BREAKING NEWS: Taarifa zinaeleza kuwa klabu ya Yanga haita tumia dressing room za uwanja wa Mkapa baada ya kuikuta kwenye hali mbaya, ripoti zimefika kwa mratibu wa mchezo (coordinator)...
4 Reactions
28 Replies
536 Views
ISIS wamewateketeza wakiwa hai wasichana 19 kutoka Yezidi waliokataa kusilimu na kuwa watumwa wa ngono. Jamii ya watu wasio waislam imejipanga kufanya maandamano kupinga hatua hiyo iliyovuka...
6 Reactions
65 Replies
717 Views
Habari za muda huu wanajamii, Wahenga wanasema usilolijua ni usiku wa giza, kila mmoja wetu anapotarajia kupata jambo jipya au kuingia kwenye maisha mapya hujawa na shauku na mshawasha. Ndoa ni...
3 Reactions
23 Replies
89 Views
Mtangazaji Mahiri wa Clouds FM, Gadner G. Habash (50) amefariki Dunia Leo April 20, 2024. Gadner maarufu kama ‘Captain’ aliejizolea Umaarufu Mkubwa kupitia Kipindi cha Jahazi, alikua amelazwa...
44 Reactions
597 Replies
27K Views
Mwaka jana mwishoni nilikuwa na uhitaji wa Akaunti kwa ajili ya kuingiza vipesa fulani vinavyopita mara kwa mara. Hivyo niliona vipesa hivi nivifungulie akaunti ya bank tofauti na ile nayotumia...
2 Reactions
7 Replies
8 Views
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema “Baada ya kusikiliza kwa kina maelezo ya Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenari Venance Mabeyo aliyoyatoa Machi 16, 2024, nimeshawishika na ninawashawishi Wabunge...
40 Reactions
206 Replies
7K Views
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda akieleza mkakati wa kupambana na dawa za kulevya Arusha akirejea namna alivyopambana na uhalifu huo wakati akiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam. Mkakati huo...
1 Reactions
5 Replies
82 Views

FORUM STATS

Threads
1,847,048
Posts
49,439,818
Members
666,184
Latest member
gearbox
Back
Top Bottom