Washabiki wa simba sasa hivi kila mmoja anachekelea kwa ushindi wa kesho dhidi ya al ahaly yaan wanaingia na matokeo mfukoni kesho wakifungwa wataanza tena nyimbo zao za kumlaumu kikosi chao...
Passenger traffic
1 Julius Nyerere International Airport Dar-es-salaam Dar es Salaam
2 Abeid Amani Karume International Airport Zanzibar Zanzibar
3 Kilimanjaro...
Najaribu kukumbuka. Zifuatazo ni mechi za Nyumbani za Simba kwenye hatua ya robo Fainali. Hajawahi kupoteza game ya dsm
2019 Simba 0 TP Mazembe 0
2021 SIMBA 3 KAIZERCHIEFS 0
2022 SIMBA 1 ORLANDO...
Ingawa wakristu wanajieneza kwa kupinga sana uislamu, ni wazi kwa nini uislamu umekuwa unasambaa sana Marekani siku za hivi karibuni huku ukiristo ukisinyaa.
Mim ni nilikuwa nasali kanisa la...
Mimi napenda sana motto kuhusu US Navy SEALs, usemao “The only easy day was yesterday” “It pays to be a winner” “Never out of the fight”.
Kauli mbiu hii ina lengo la kuwatia moyo wapambanaji wa...
Habari zenu jamani, Mimi ni kijana Nina Miaka 25 nina jambo langu linaeda kama ifuatavyo.
Kipindi nipo chuo mwaka wa kwanza ambapo nilikuwa nasomea kada ya Afya, Kuna Binti nilikuwa naye kozi...
Baada ya maradhi sugu, hakuna kitu kinachokosesha amani kama kuwa na madeni.
Hili jambo linatia stress ya hali ya juu mno.
Na mbaya zaidi ni kuwa stress hii inakufanya ushindwe ku focus kufanya...
Wakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake
1. TPDC
2. TCRA
4. Ngorongoro
3. Ewura
4. WCF
5. TBS
5. TANAPA
5. Tume ya madini
6...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.