Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kwamba Rais mpaka sasa haoni kile kinacho endelea Zanzibar ? Au kwa sababu ni watu wa imani yake na ndugu zake Wazanzibari ? Mnataka mturudishe kwenye fujo za mabucha ya ng'ombe wakati wa Jakaya ?
0 Reactions
13 Replies
14 Views
Kuna benki zinajitutumua kufanya kama defined bank services providers lkn ni wazushi san. Sintawataja. Ila ni kati ya benk mbili maarufu zinazotumiwa na serikali kuwakopesha watumishi...niseme...
0 Reactions
21 Replies
180 Views
Taifa la Mungu wakati tukijiandaa kusherekea Pasaka siku ya jumapili. Wakirsto waliopo Zanzibar wapo kwenye mtihani mkubwa. Zanzibar kwa sasa ukila mchana unakamatwa na polisi na kuwekwa ndani...
34 Reactions
161 Replies
3K Views
Timothy Apiyo (RIP) aliyekuwa Chief Secretary wa State House enzi za J K Nyerere aliwahi kufanya makosa Kama haya ya CAG Kicheere. Watendaji walileta mapendekezo ya kuboresha mafao ya kustaafu...
1 Reactions
2 Replies
31 Views
Habari wana theolojia. Mathayo, Marko, Luka na Yohana hawa walikuwa ni mashahidi wa macho waliopata kumuona na kumsikia Yesu Kristo, hata baadaye wakapata msukumo kupitia roho mtakatifu...
5 Reactions
96 Replies
1K Views
Ni usiku mkubwa, wa pambano la kati ya Mike Tyson na Sheldon. Ni usiku ambao ulitokea tukio moja kubwa na la kusikitisha sana kwenye ulimwengu wa muziki. Huku pambano likiwa limemalizika na watu...
6 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu salaam, Tofauti na mama yako na mke wako wanawake wengine wote achana kujifanya kuwasaidia wanakuchora tu. Wanawake ni viumbe wabinafsi kuliko viumbe wengine wote chini ya mawingu mpaka...
171 Reactions
1K Replies
58K Views
Kesho ni ijumaa kuu kwa kifupi ni njia ya msalaba bwana yesu wetu kristo alipitia katika mateso yake Najua hatutakula nyma kabisa je ni hatari na haramu nikila samaki? Msaaada naombeni
7 Reactions
136 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Leo nataka niwapeni uchambuzi wangu na Elimu kidogo juu ya nani angefaa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA baada ya Mbowe kung'atuka uongozini na kuruhusu mawazo mapya na fikra...
7 Reactions
108 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,840,568
Posts
49,205,669
Members
664,060
Latest member
Mwico_jnr
Back
Top Bottom