Full name: Arsenal Football Club
Nickname(s): The Gunners
Founded: 1 December 1886
League: Premier League
Website: arsenal.com
Ground: The Emirates Stadium, (Capacity: 59,867) - Pitch...
Aisee hawa wanawake ni hatari.
Mke wangu anapenda sana TikTok sasa kuna siku nimeingia kwenye acc yake nimekuta kuna vijana wanamtongoza wengine ana wajibu wengine hajibu. Kifupi nimeshindwa...
Hili ni funzo kwa Makonda afuatilie mikutano ya kinana na nchimbi atagundua yeye alikuwa ni mwenezi
1: Mropokaji kila jambo anaropoka kwa maslahi yake
2- Mwenezi wa kujikweza na maagizo yasiyo na...
Hivi umeshawahi kujiuliza kwanini mtu mwenye kisukari kidonda chake hakiponi haraka?
JIBU: Kuna sababu kuu mbili za kisukari kuchelewesha kupona kwa vidonda:
KWANZA: Viwango vya juu vya sukari...
Fuatilia kinachojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 15, Kikao cha 8, leo Aprili 17, 2024.
https://www.youtube.com/watch?v=44Vf4dT7NOw
Mbunge wa Geita vijijini (CCM) Joseph Musukuma amesema...
Baada ya penzi zito na mpenzi wangu, tena penzi ashteashte nakumbuka kuna day alianza niandaa kisaikologia kuwa nisitoke home, anashida ya muhimu nami, nilipojaribu kumsisitiza kuwa nachokifatiria...
Habari nilizozipata ni kuwa aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu sa Serikali CAG Prof Assad amefiwa na mkewe ghafla usiku wa leo
Msiba upo nyumbani kwake Tegeta na maziko ni leo saa 10...
Wakuu nimesoma report ya upatikanaji wa madini mkoani Ruvuma.
Nimesoma nikaona Kwamba madini ya chuma yanapatikana katika Kijiji cha Mtonya Wilayani namtumbo je wenyeji wa namtumbo yaliyo andikwa...
Nchi ya UAE inayounganisha na jimbo la Dubai ni miongoni mwa mataifa tajiri sana duniani.Kila kitu wamependelea kiende kiteknolojia hata pasipokuwa na umuhimu wa namna hiyo.
Maendeleo hayo ndiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.