Tokugawa Shogunate...
Kuna haka ka-Miniseries kametoka kwenye Chanel ya FX, watu mitandaoni wamekua wakiifananisha au kusema kwamba imezidi ubora GOT.
Binafsi nimeitazama hii series nakubali...
Ajira ngumu,
Kupoteza muda,
Kupoteza pesa ambayo kiuhalisia ungepata mtaji wa kuanzisha biashara.
Kuingia madeni yasio ya lazima, (mikopo)
Elimu haikidhi viwango vya mabadiliko ya kiuchumi na...
wakuu habari za muda huu,natumai mnaendeleo vizuri na poleni na majukumu ya siku nzima. Naombeni msaada mimi nimemaliza diploma ya clinical medicine(2023)so nimepata changamoto jinsi...
Wasalaam wakuu, mpaka muda huu nina huzuni ya nafsi baada ya kuiona maiti ya bajaji iliyogongwa na roli la cement mzinga, njia ile wallah finyu barabara ni mbovu, vyombo vinavyopita pale ni vyenye...
Habari za muda huu wapendwa.
Maisha ni safari ndefu sana yenye milima na mabonde.
Kuna nyakati unapitia Raha mpaka unajiona hapa duniani upo peke yako.
Kuna nyakati unapitia msoto mkali mpaka...
Haiwezekani kwamba azam tv kuwa ni burudani kwa wote kama wanavyojinasibu. Mi naona hiyo kauli ibadilike na kiwa azam tv burudani kwa waliolipia mana bila kulipia huoni kitu
MUUNGANO CUP: Nusu fainali Kombe la Muungano Mnyama Simba SC kukipiga na KVZ wakati AzamFC kumenyana na KMKM
Michezo hii kuruka mbashara kupitia #AzamSports1HD
Je, ni timu gani kutinga fainali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.