Habari wana JF
Matumaini yangu wote mko poa kabisa.
Uzi huu ni kwaajili ya wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za...
Wadau hamjamboni nyote
Huu ni ushuhuda wa kweli kabisa uliothibitisha kuwa nilichokuwa nakifikiria kuhusu mihogo siyo kweli!
Leo Jumatano majira ya mchana hapa maeneo ya Mbuyuni nimekula mihogo...
Ndio ni ratiba ya siku nzima kutoka mawio hadi machweo. Nataka kujifunza kitu.
Pia kama mstaafu ni wewe mwenyewe sio mbaya ukashare pia.
Sharing is caring.
Sio siri kuwa shauku ya mh Januari Makamba kuutaka urais ni kubwa sana pengine zaidi ya ile shauku ya mh Lowasa. Lakini kwa bahati mbaya mapito yake hayatatofautina na yale ya Mh Lowasa...
Shoga maarufu na mwenye mafanikio ya kutisha kutoka pande za Nigeria , Idris okuneye, maarufu kama Bobrisky, ametangaza ujio wake kwenye ardhi ya Magu, baada ya kualikwa na Msanii kutoka bongo...
Kwa sisi wapenzi watazamaji wa Azam Tv wapenzi wa tamthiliya hasa pale Azam Two hakuna tena burudani kwa wote bali burudani kwa Waturuki. Tamthiliya zinazorushwa na Azam Tv zinachosha mana...
Anachotaka Christine ni kupanda cheo hapa benki toka kuwa afisa mikopo mpaka kuwa meneja wa tawi.
Anaamini akikaa hapo, wazazi matajiri wa 'boyfriend' wake watamheshimu na kumwona anafaa kuolewa...
Kwanin naliuza ! Nauza kwa sababu nimetumia pesa zangu kufatilia na kupoteza muda mrefu nikifatilia na Sasa Ni biashra nzuri San na in pesa nzuri
Haihitaji efd mashine wala tra kukufatilia Zaid...
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Kuna hii tabia very chronic kutoka kwa mashabiki na machawa wa WCB ya kuhusianisha kila kitu na streaming numbers ili kujustify ujinga wao.
We all know kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.