Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Baada kipigo cha Russia kwenye maficho ya NATO huko Ukraine NATO wameanza kumtafuta mchawi... #BREAKING Polish Lieutenant General Jaroslaw Gromadzinski, a commander of Eurocorps, a joint military...
0 Reactions
2 Replies
119 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
915 Reactions
1M Replies
38M Views
Habari za kazi wakuu, poleni na hongereni kwa majukumu ! Ninatafuta kijana wa kiume anayeweza kuchoma kuku mida ya jioni, malipo ni Tsh 5000 kwa siku kwa kuanzia it means inaweza kuongezeka...
1 Reactions
5 Replies
125 Views
- Huwa binafsi mimi na wachezaji wangu tunatembea bila viatu wakati tunapoukagua uwanja wa wapinzani wetu #CAFCL, wasiotufahamu haswa katika michezo ya kimataifa huhisi ni uchawi wetu ila ukweli...
6 Reactions
33 Replies
1K Views
Ni zaidi ya miaka nane sasa imepita toka Dr. Mwakyembe autangazie umma juu ya mradi wa treni ya kisasa kwa mkoa wa Dar es Salaam lakini mpaka leo hakuna taarifa yoyote kuhusu huu mradi ulifikia...
2 Reactions
11 Replies
913 Views
Kwenye mapenzi mbali na ngono kuna mambo ya kusaidina matatizo madogo madogo na hata makubwa kama yapo ndani ya uwezo wenu. Mfano mwanaume umemuambia mwanamke wako akuazime let's say Tshs 20,000...
6 Reactions
58 Replies
958 Views
Ubuntu botho ! Imekuwa dili kubwa sana hapa bongo kwa takribani wiki sasa ! Trendi Iko juu sana na wanahaha kuutafuta madukani ,ingia mtaani watu wamependeza na hii jezi Kali kabisa afrika...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Wakati anakanidhi Ofisi Kwa Mteule Mpya,Efraim Mafuru amesema Mda wowote kutoka Sasa , Serikali ya Mama itaanza ujenzi wa Ukumbi Mkubwa wa Mikutano ya Kimataifa Maarufu kama Mount Kilimanjaro...
2 Reactions
30 Replies
586 Views
Fuatilia yanayojiri wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya CAG na TAKUKURU kwa mwaka 2022/23, Ikulu ya Chamwino, Dodoma, leo Machi 28, 2024...
3 Reactions
57 Replies
852 Views
Bwana Yesu asifiwe kwa wale wenzangu na mimi. Wengine habari zenu? Ninapoelekea kutimiza miongo kadhaa ya kuwepo hapa duniani nimejikuta natafakari maisha yangu tangu pale nilipoanza kupata akili...
58 Reactions
637 Replies
55K Views

FORUM STATS

Threads
1,840,252
Posts
49,194,987
Members
663,952
Latest member
Eber Manya
Back
Top Bottom