Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kupitia mkutano na waandishi wa habari kuelekea mchezo wa kesho Kati ya Yanga na mamelodi, Kocha mkuu wa Yanga Miguel GAMONDI, kafunguka mpaka Sasa Bado Aziz Ki na kipa Diarra hawajawasili...
1 Reactions
5 Replies
85 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
915 Reactions
1M Replies
38M Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
120 Reactions
505K Replies
28M Views
Mimi ni mkristo, mpenda haki. Nimekuwa nikiwatetea sana wapalestina katika platforms za social media kote nilipo. Hakika kitendo kinachoonekana katika video niliyoambatanisha kimeniumiza...
8 Reactions
128 Replies
2K Views
Naona mambo sasa yamekaa sawa. Yale matamko yaliyokuwa yanatolewa na Makanisa (TEC) na Ule Muunganiko wa Makanisa mengine hasa kipindi cha Pasaka, Yametulia kabisa. Huu Mwaka hakuna kanisa lenye...
1 Reactions
10 Replies
125 Views
Nimestushwa na kuogopa tena nikalazimika kuisoma Katiba ya Zanzibar mara mbili. Leo Waislamu wa Zanzibar wanawavamia na kuwapiga vibaya Wazanzibar wenzao ambao sio Waislamu kwakuwa tu wanakula...
13 Reactions
358 Replies
21K Views
Shehe huyu kutoka msikiti wa Madina ambao haukuweza kujulikana mara moja mkoa ulipo, amesikika akiongea kwa ukali sana akiwananga wale wote wanaomtukana mama kwa sababu ya kuuza bandari kwa...
4 Reactions
42 Replies
689 Views
Nina Shida na kupata control number tra ili nilipie Nilienda juzi wakanipigia makadilio ila kwenye kupata control number mtandao wao ukasumbua so jambo halikukamilika na mwezi ushaisha nikikaa...
0 Reactions
1 Replies
33 Views
Leo ni siku ya ijumaa, al hamdu liLlah nimesali pamoja na waislamu wenzangu, nasubiri muda wa iftar ufike kisha sala ya ISHAA then TARAWEEH inshaa Allah Ila nitasikitika sana sana Ndugu zangu...
4 Reactions
9 Replies
48 Views

FORUM STATS

Threads
1,840,619
Posts
49,207,499
Members
664,059
Latest member
Proces Tech
Back
Top Bottom