Mimi ni:
Kujana: 35
Sija wahi kuoa:
Sina mtoto:
Mjasiria Mali:
Nina shahada ya kwanza.
Niko, Ilala, DSm.
Sina kitambi , mrefu wa wastani.
Dini : mkristo.
Sifa za mke mtarajiwa
Awe:
Mzima wa...
Nimekuwa najiuliza wakati Bashite yupo nje ya Uongozi alikuwa haonekani kuwatembelea viongozi wa dini na kuwataka wamwombee na kumbariki. Mara baada ya Kuteuliwa kuwa Katibu wa Uenezi wa CCM...
Habari Wakuu. Naomba niwaulize Wananchi wa Jimbo la Kawe: Mh Gwajima.(Mbunge) alitekeleza ile ahadi yake ya kuwanunulia Boti ya uvuvi vijana wa Jimbo hilo??
Mtoto wa jirani yangu hataki kula kabisa ana umri wa mwaka mmoja na nusu na ana kilo Tisa(9) tumeshajaribu kumpa virutubisho vya aina vyote Ila bado hataki kula tumempa km seven sea syrup...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Wapo watakaosema kwamba hakuna anaelezimishwa kunywa hivyo visungura, fine, ila imetosha sasa. Vipigwe marufuku, pombe kali za kiwango hiki hazipaswi kuwa readily available kiasi hiki kama...
Tulishasema tangu awali kwamba kwenye harakati za kisiasa, yapo mambo madogo madogo ama tuvitu vitu fulani twa kusisimua sana lakini hatupewi Airtime.
Sasa kwenye maandamano yanayoendelea watoto...
Habari zenu wana JF.
Nitajaribu kuifupisha kadri niwezavyo ili nisiwachoshe, sitaingia kweny details sana.
Kuna kipindi wakati bado nipo chuo nilibahatika kuingia katika mahusiano na mrembo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.