Habari wanaJF. Nina imai mko poa kabisa
Kama kichwa cha habari kinavyosema
Nimekuwa na mahusiano na wasichana takribani watano mpaka sasa hivi, ila cha kushangaza kila demu napokuwa kwenye...
Wadau, jana nimeota kuwa Yanga atashinda nje ndani kwa idadi ya magoli 4-2 huku Mudathiri, Pacome na Aucho wakishinda kwenye magoli hayo 2, mara nyingi huwa naota ndoto za kweli huenda ikawa idadi...
Nimeshangaa kusikia Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya umeikopesha Serikali Shilingi billion 208 na hazijalipwa hadi Leo.
Inasikitisha sana.
Waziri husika ajitafakari kwa kweli.
Mnamo tarehe 26.03.2024 majira ya saa mbili usiku katika eneo la Kivukoni kwenye Kituo cha Mabasi Yaendayo Haraka (Mwendokasi), kulitokea hali ya vurugu kati ya abiria na madereva wa basi liendalo...
Mimi na miaka 14 kwenye soko la forex ila sio mafanikio ya haraka watu wanavofikilia.nimeona malalamiko mengi hapa JF bora kueleza ukweli.
Asilimia kubwa forex ni High risk na inaweza kukuweka...
CCM kama chama dola nchini Tanzania kimefanikiwa sana kujitengenezea upinzani wake na wapinzani wake ambao kwa uhalisia nao ni Ccm nje ya Ccm. Mmoja wao ni Mbowe na chama chake cha Chadema...
Kutokana na taarifa ya ACT Wazalendo kwa Zitto Kabwe, Mhonga Said Ruhwanya, Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini, ametoa mfano wa uongozi bora na kutenga mfumo wa ukomavu katika siasa. Hapa kuna...
Hii ni kutokana wengi wanafungua viwanda kusupport nchi yao, lakini wanasiasa kutokana na maslahi yao, wanaingiza bidhaa nchini bila kodi na bidhaa hiyo hiyo inayozalishwa nchini inakuwa na kodi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.