Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
920 Reactions
1M Replies
39M Views
Ndugu wana JF poleni na kazi na mihangaiko ya maisha. Mimi ni kijana wa miaka 29 mzaliwa wa Morogoro na kukulia DSM hasa maeneo ya Tandika! Nilipohitimu masomo yangu pale UDSM 2017 nilikuja...
27 Reactions
127 Replies
4K Views
Ndugu zangu Watanzania, Habari ni kuwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan anatarajia kufanya ziara ya kikazi nchini Uturuki kwa mualiko...
2 Reactions
47 Replies
1K Views
Rais wa Tanzania ametangaza kurejesha tena utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwa vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu wenye ulemavu kuanzia July, 2024 kwa utaratibu wa kutumia Benki kwa Halmashauri...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
https://www.instagram.com/reel/C50XkOvoJzO/?igsh=aGJ2eHoydzdkbXRy
2 Reactions
7 Replies
121 Views
Taarifa iliyotolewa na Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Aprili 9, 2024 imesema kutokana na maboresho yaliyofanyika na Hospitali ya Taifa ya Muhimbili upande wa Kliniki za VIP Jengo la...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Msimu wa 2024/2025 kutakuwa na mashindano ya African football league na CAF champions league. African football league itahusisha timu 24 ambazo zitatoka kwenye zone tatu kulingana na rank zao za...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Za wakati huu wanajukwaa......naomba kupata uzoefu wenu haswa kwa wale wanaume wenye sifa hizi 1. Short (wafupi) futi 5.6 kushuka chini 2. Broke(wenye kipato cha papatu papatu) #upambanaji...
4 Reactions
27 Replies
316 Views
Kwamba, mabomu yote yale aliyofyatua Irani, hayajafanya chochote? Israel kamfanyia dharau Irani Siku zote Irani huamini kwamba, Israel ni mnyonge wake, hawezi na hatoweza kumpiga miaka milele...
18 Reactions
114 Replies
3K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
121 Reactions
509K Replies
28M Views

FORUM STATS

Threads
1,845,930
Posts
49,401,209
Members
665,778
Latest member
lucysAloyce
Back
Top Bottom