Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uwezo wa Guede Jr umekwisha onekana ni mtu wa kusubiri apenyezewe ball papatu papatu na Yeye afunge, Geuede Jr ni mzito na siyo mtafutaji (mkabaji) Kama afanyavyo Kennedy Musonda na Clement...
1 Reactions
20 Replies
590 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
915 Reactions
1M Replies
38M Views
Nimeshangaa kusikia Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya umeikopesha Serikali Shilingi billion 208 na hazijalipwa hadi Leo. Inasikitisha sana. Waziri husika ajitafakari kwa kweli.
5 Reactions
43 Replies
838 Views
Nimepambana nimepata mtaji wa million nane nahitaji kufungua duka la NAFAKA DAR lakini Mimi mi mgeni katika biashara, sijui NAFAKA gani ni za kuanza nazo ambazo zinauzika Sana hapa Dar na...
7 Reactions
55 Replies
2K Views
Ni kubwa sana kiumbo, ikiwa kwenye hadhira, Ni Mamba kama wa Mombo, Sema ye hana madhara, Yakichambuliwa mambo, yatakutia hasira, Mamba huyu mamba gani, mbona hawezi kung'ata Hukaa kimya majini...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Kila nikifungulia Redio ni Yanga Sc vs Mamelodi Tena wachambuzi wanaamini kabisa kuwa Yanga sc itafungwa maana wanavyoipamba Mamelody Fc Kama shabiki una moyo mdogo unaweza usiende uwanjani. Hii...
4 Reactions
34 Replies
946 Views
ZITTO ANAPOMFUNDA MBOWE KWA VITENDO. Aliyekuwa kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo na mpigania demokrasia ndani ya vyama na serikali kwa ujumla Zitto kabwe aachia ngazi baada ya miaka kumi ya...
3 Reactions
33 Replies
461 Views
Mie nilijiapiza sitopenda tena toka moyoni nitapenda juujuu tu, we bhana weee☹️ ndo nimejikuta nimependa toppest. Yaani nimepitiliza kama ni temperature basi imekuwa 45 C. NB: Najua tutaachana🙄...
28 Reactions
372 Replies
9K Views
Kuonesha kwamba timu ya SIMBA ni timu iliyobarikiwa na MUNGU kwa kutandaza soka tamu la viwango vya CAF na kuthibitishwa na FIFA, CAF wameamua kuipanga siku ya ijumaa iwe siku ya mechi pekee ya...
6 Reactions
15 Replies
372 Views
Niajee wakuu, Mazoezi ni muhimu sana. Shauri yenu!!! Mwanaume ata kupiga push ups 10 huwezi, kukimbia nayo huwezi, ata kutembea mdogo mdogo km ½ nayo huwezi. Achaneni na chips yai wazee pigeni...
14 Reactions
70 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,840,317
Posts
49,197,269
Members
663,990
Latest member
Moeka Ludili
Back
Top Bottom