Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Homa ya Kariakoo Derby inazidi kupanda, siku ya kumaliza ubishi imewadia. Leo jioni kuanzia saa moja miamba hii itakutana kutafuta point tatu muhimu kuendeleza marathon za Ligi Kuu ya NBC. Yanga...
20 Reactions
401 Replies
9K Views
Habari za muda huu wanajamii, Wahenga wanasema usilolijua ni usiku wa giza, kila mmoja wetu anapotarajia kupata jambo jipya au kuingia kwenye maisha mapya hujawa na shauku na mshawasha. Ndoa ni...
6 Reactions
220 Replies
1K Views
Habari Wanajamvi. Natumaini mko poa. Naomba serekali iweze kuangalia upya hawa watumishi WA UHAMIAJI pale wilaya ya mwanga kabla hawajaathiri watu wengi. Baada ya kuzungushwa mda mrefu katika...
0 Reactions
4 Replies
18 Views
Kuna watu hawataelewa…..kama ni mmoja wapo basi Jitulize! Kugundua purpose ya maisha yako ( purpose of your life) si kitu kidogo. Watu wanaweza kuishi maisha yao yote pasipo kujua. Binafsi bado...
12 Reactions
65 Replies
1K Views
Habari wakuu. Nilikua nazunguka mtandaoni kutafuta gaming laptop mpya. Katika kutafuta nilikutana na gaming laptops brand ya Mechrevo. Kilichonishangaza niliona kuwa zinaonekana kuwa bei nafuu...
0 Reactions
19 Replies
399 Views
Sasa hivi vijana walio wengi hawataki wasichana rika lao na wanahitaji kulelewa tu. Mikoa inayoongoza ni Dar es Salaam, Dodoma, Arusha sio kwa kiwango kikubwa ila wapo, pamoja na Mwanza. Wazazi...
6 Reactions
23 Replies
552 Views
Aliyekuwa Muigizaji wa tamthilia ya Zahanati ya kijiji Bi Ubwa amefariki leo tarehe 20/4/2024. Hakika sisi ni wa Mungu na kwake tutarejea
0 Reactions
5 Replies
84 Views
Hayo yameelezwa na KM wa CCM Dkt.John Nchimbi wakati wa ziara yake ya Mikoa 6 akiwa Njombe. DK Nchimbi ameonekana kushangazwa na kufurahishwa na Wingi wa miradi na maendeleo yaliyofanyika na...
4 Reactions
99 Replies
892 Views
Wakuu, hebu tujadili suala hili objectively, 1. Unamzungumziaje Rais Magufuli dhidi ya uhuru wa habari Nchini Tanzania? 2. Kwa namna yake mzee chuma, Magufuli au tuseme sera zake ziliwaathiri...
2 Reactions
6 Replies
80 Views
Safari ya Majaribio ya Treni ya SGR na Viongozi wa Dini kutoka Dar es Salaam - Dodoma kwenye Dua na Maombi ya Kitaifa #60yaMuunganoTz Nami nasafiri na SGR nitakuwepo kwenye Dua/Sala Aprili 22...
2 Reactions
31 Replies
944 Views

FORUM STATS

Threads
1,847,058
Posts
49,440,650
Members
666,183
Latest member
gearbox
Back
Top Bottom