Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Tulimaliza robo mwaka March, zile resolution zako ulizosema mwanzoni mwa mwaka utafanya hiki na kile, Mpaka sasa umefanya nini? Umeaccomplish mikakati yako? Mimi nilisema nitafanya savings, ila...
11 Reactions
86 Replies
638 Views
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k...
228 Reactions
400K Replies
31M Views
Je, umewahi kujiuliza kama wewe na mwenza wako mnaweza kushirikiana kibiashara? Navy Kenzo wametoka mbali katika safari yao ya mahusiano na muziki. Mwaka 2008, Aika na Nahreel walikutana na...
0 Reactions
2 Replies
18 Views
Ukienda Kule mtandaoni X Watanganyika wamechachamaa na kumlaani mbunge wa ACT wazalendo kwa Hoja yake ya kibunge kwamba Watanganyika waingie Zanzibar kwa Passport kama zamani Nauliza tu, Kosa...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknologia Mhe Qs Omar Juma Kipanga akifuatilia kwa UMAKINI Ufunguzi wa Mkutano wa SITA wa Dunia wa Jukwaa la Pertnesship in applied science and engineering...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Bila kupoteza muda ladies leo zamu yenu, hebu mtaje member wa kiume unayevutiwa naye… unaona kabisa huyu yupo kumtima. Na liwalo na liwe namtaja. Wanaume tulieni muone mnavyopendwa na ukitajwa...
22 Reactions
2K Replies
14K Views
Hi kauli ya marehemu iliyowai kuzua gumzo kila Kona ya nchi na nnje, jamaa alishiba pesa za kusaga akaanza kutoa kauli zenye utata, ati mwanamume lzm uwe na pesa ndio umuoe binti ake yaani uwe...
14 Reactions
161 Replies
4K Views
Nimevumilia vya kutosha nikidhani kama kuna mtu anayekerwa na fumbuzi wa matatizo ya muungano yaliyotolea kwenye kikao cha pamoja kati ya Mh. Lowassa na Mh. Nahodha. Kitu kinachonitisha ni...
19 Reactions
5K Replies
527K Views
Jumamosi ya Novemba 15, 1884, Kansela wa Ujerumani, Otto von Bismarck, aliitisha mkutano mkubwa kwa ajili ya kuligawa Bara la Afrika. Mkutano huo uliofahamika kama Berlin Conference, ulifanyika...
9 Reactions
9 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,848,167
Posts
49,476,602
Members
666,630
Latest member
lsack jonathan jacob
Back
Top Bottom