Kusema kweli kama kuna vitu nimefikia kujidharau sana,basi ni kushabikia hizi timu nikiamini ni timu za soka.
Ukweli ninaanza kuuona katika timu hizi ni usanii wa kiwango cha juu.
Timu zimekuwa...
Wazazi wanatuombea sana hususa wale wa familia za chini pale wanapoona kijana au Binti yao yupo chuoni, kwani imani yao atapata Elimu kisha kuwa na maisha bora.
Lakini tatizo vuoni kunakuwa na...
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema “Baada ya kusikiliza kwa kina maelezo ya Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenari Venance Mabeyo aliyoyatoa Machi 16, 2024, nimeshawishika na ninawashawishi Wabunge...
Tanzania na Malawi ziko ukingoni mwa mvutano wa Kidiplomasia kufuatia uamuzi wa Tanzania kuboresha Bandari ya Mbamba Bay, iliyoko kwenye mwambao wa Ziwa Nyasa.
Malawi imeilaumu Tanzania kwa...
Serikali imejaza mabango kama haya kujaribu kuwaaminisha wananchi kwamba vita havipo Tehran ila kule Tel Aviv, maana humo wanaishi mkao wa kusubiri hawajui nini kinawajia, maana tatizo la Israel...
Bitcoin halving, linalojulikana pia kama "nusu ya zawadi ya block", ni tukio linalopangwa ambapo idadi ya Bitcoin mpya zinazotolewa kwa wachimbaji kwa kila block iliyothibitishwa hupunguzwa kwa...
Pwani, Bagamoyo na Morogoro wapi naweza ng’ombe wa maziwa wakuuza?
Wengi naona ni janda za juu na kaskazini.
Nipe location au contacts kwa anaejua please!
Haya jamani,
Kuna kampeni inatembea duniani inaitwa self love.
Wale watafsiri wa lugha sanifu ya Kiswahili waje watuambie, self love ina maana gani? Kama una picha weka.
Ni semester ya mwisho sasa (6 semester), performance yangu hapa Duce ipo nzuri sana by the way hadi sasa Kwa semester tano za nyuma na average GPA ya 4.3.
Lakini, Sina furaha kabisa kwani ndoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.