Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Furaha Dominic anashitakiwa kwa kosa la kurekodi video zisizo na maadili za viongozi mbalimbali kisha kuzitumia kujipatia pesa kwa kuwatisha (blackmailing).
Furaha Dominic ni yule kijana ambaye...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimekaa nikatafakari juu ya Mama yetu huyu mpendwa nikaona kuwa pamoja na kuwa Rais Samia alisema kuwa yeye katika mawazo yake hajawahi kuwaza kugombea Urais wala kuwa...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Pte Abraham Engwedu (kushoto) and Pte Stephen Jarili (kulia).
Askari mwenye umri wa miaka 44 amehukumiwa miaka 35 jela baada ya kupatikana na hatia ya kuikimbia Jeshi la Ulinzi la Watu wa Uganda...
Sarafu ya Tanzania yaani Shilingi ni Kato ya Sarafu Dhaifu zaidi hapa Afrika ikishika namba Saba.
Licha ya Tanzania kuwa miongoni Nchi Zenye uchumi imara na mkubwa hapa Afrika ila haijasaidia...
MUUNGANO CUP: Nusu fainali ya kwanza inachezwa leo Jumatano
Mnyama Simba SC kukipiga na KVZ
Kikosi cha Simba kinachoanza
Goool 25 Fred anaitanguliza Simba
Chama ameumia anatoka anaingia...
Introduction
Haya matokeo ya Mpira yameniuma balaa. Liverpool kapigwa. Yanga holaaaaa. Tuachane na hilo, turudi kwenye mada.
Scenario
Ngoja niongee kwa mifano halisi ili uweze kunielewa. Mimi kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.