Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Waziri Mkuu majaliwa ameipongeza TANESCO kwa kuzalisja umeme zaidi ya mahitaji yaliyopo sasa, "Leo tarehe 19 April 2024 uzalishaji wa umeme ni mkubwa, shirika letu la TANESCO limemudu kuzalisha...
1 Reactions
39 Replies
1K Views
Zanzibar watalii wanne wa Ki Israel wametimuliwa baada ya kuleta fujo ndani ya hotel baada ya kuona gari la manager wa Hotel Hiyo Ina stika za Free Palestine 🚨🇮🇱🇵🇸 FOUR ISRAELIS were KICKED OUT...
11 Reactions
227 Replies
2K Views
Mtangazaji Mahiri wa Clouds FM, Gadner G. Habash Amefariki Dunia Leo April 20, 2024. Gadner maarufu kama ‘Captain’ aliejizolea Umaarufu Mkubwa kupitia Kipindi cha Jahazi, alikua amelazwa katika...
9 Reactions
76 Replies
842 Views
wakuu Mambo ni vipi. Mimi huwa napenda sana kusoma mada mbali mbali hapa Jf Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu, Leo nitazungumizia utani wa watu hapa Jf na watu na mada ambazo...
23 Reactions
135 Replies
2K Views
Kusema kweli kama kuna vitu nimefikia kujidharau sana, basi ni kushabikia hizi timu nikiamini ni timu za soka. Ukweli ninaanza kuuona katika timu hizi ni usanii wa kiwango cha juu. Timu zimekuwa...
6 Reactions
11 Replies
370 Views
Sio siri kuwa shauku ya mh Januari Makamba kuutaka urais ni kubwa sana pengine zaidi ya ile shauku ya mh Lowasa. Lakini kwa bahati mbaya mapito yake hayatatofautina na yale ya Mh Lowasa...
7 Reactions
73 Replies
2K Views
Hii nchi inafurahisha sana. Tunalaumu faragha za watu kuvuja, kumbe wavujishaji ni wao wenyewe. Mimi ni mmoja kati ya rafiki yake na mmoja wa watu waliovujiwa faragha zao kwa Mange mwaka huu Sio...
0 Reactions
5 Replies
20 Views
Katibu Mwenezi wa CCM Komredi Amos Makala amesema yeye na Dr Nchimbi wamesikiliza Kero 148 kwenye Mikoa 5 hadi sasa na kuzipatia ufumbuzi --- Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Amos Makalla...
0 Reactions
13 Replies
322 Views
Marehemu Nyaisuka Chacha Mohono. Aliuawa na askari wa wanyamapori 11/03/2024 kwa kupigwa risasi saa nne asubuhi nyumbani kwao kitongoji cha Jerumani, Machochwe, Serengeti. Askari walifika...
3 Reactions
22 Replies
230 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
121 Reactions
509K Replies
29M Views

FORUM STATS

Threads
1,846,959
Posts
49,436,102
Members
666,147
Latest member
asamG
Back
Top Bottom