Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

GAMONDI IS PATHETIC OF A MANAGER. #FACTS Sababu ni hizi 1. AKILI ZA SUBSTITUTION HANA KABISA, leo nimejua hata ajui wachezaji wake completely ni kama he lost his mind adding to that, he has no...
10 Reactions
208 Replies
7K Views
Wakuu, salama huko ulipo? Wataalam wa hali ya hewa wakitoa tahadhari ya mvua kubwa kunyesha shule zifungwe kufuatia matangazo hayo, kama tangazo hili lililotolewa juzi. Wote tunajua ni hatari...
4 Reactions
15 Replies
431 Views
Kwema wanajamvi jukwaa la wenye kuumiza vichwa? Basi powa twende sasa, Huko Paiba Brazil kuna Mwamba au Jiwe kubwa lenye 250 feet in Length, Hilo limwamba ligumu lina michoro ya kushangaza sana...
3 Reactions
9 Replies
219 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
40 Reactions
50K Replies
3M Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
121 Reactions
510K Replies
29M Views
Nawasalimu kupitia jina lipitalo majina yote chini ya jua. Aisee nina bro tunafanya kazi wote, kazi zetu ni field asilimia 95, hivyo tunaishi as kampani. Huyu bro age yake 41 yrs amenipokea na...
5 Reactions
35 Replies
891 Views
Wakati naendelea kufuatilia marudio ya msiba wa Garder, namuona DJ JD akiwa katulia msibani. Mara kwa mara kamera zinamuonyesha akiwa katulia, na miwani yake myeusi juu ya paa la uso. Ndipo...
4 Reactions
16 Replies
422 Views
Enzi hizo Sinza kila baada ya nyumba kadhaa unakutana na sehemu ya ulevi, iwe grocery flani hivi ama baa. Sinza ilikuwa na baa maarufu kama Hongera, B-Bar, Lego, Vatican City, Waungwana...
3 Reactions
22 Replies
235 Views
Furaha Dominic anashitakiwa kwa kosa la kurekodi video zisizo na maadili za viongozi mbalimbali kisha kuzitumia kujipatia pesa kwa kuwatisha (blackmailing). Furaha Dominic ni yule kijana ambaye...
10 Reactions
93 Replies
4K Views

FORUM STATS

Threads
1,847,719
Posts
49,463,900
Members
666,444
Latest member
New life zone
Back
Top Bottom