Muda mwingine huwa nawaza tu, hivi Hawa watoto walioko mtaani ni kosa au matokeo ya nani??.
jibu ni sisi , ndio ni Mimi na wewe, Kama sio sisi, ni yule au wale. Haijalishi we ni mzuri auhandsome...
Full name: Manchester United Football Club
Nickname(s): The Red Devils
Founded: 1878 as Newton Heath LYR F.C | 1902 as Manchester United F.C.
League: Premier League
Website: ManUtd.com...
Full name: Liverpool Football Club
Nickname(s): The Reds
Founded: 3 June 1892
League: Premier League
Website: LiverpoolFC.com
Ground: Anfield, (Capacity: 54,074) - Pitch 101m x 68m...
Full name: Arsenal Football Club
Nickname(s): The Gunners
Founded: 1 December 1886
League: Premier League
Website: arsenal.com
Ground: The Emirates Stadium, (Capacity: 59,867) - Pitch...
Mara baada ya kuchaguliwa kuwa mbunge Mheshimiwa January Makamba aliweka utaratibu wa wana Bumbuli kutoa kero zao
Lakini pamoja na kero hizo kutumwa hali ndio kama mnavyoona .
Jambo la...
Wakuu kwema?
Nilikua na muhusiano na mwanamke mmoja hivi.. ikatokea siku tuligombana akanitamkia maneno kadhaa ambayo yalichoma moyo wangu sana.
"sina hisia na wewe"
".sijawahi kukupenda"
"Nina...
Wanaume wawili, Furaha Jacob pamoja na Mustapha Kuhenga (28) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam wakituhumiwa kuchapisha na kusambaza picha za ngono mtandaoni...
Salaam ,Shalom!!
Wapo wanaokwambia kuwa yanayotokea duniani ni mabadiliko tu ya TABIA Nchi, wengine wanaokwambia ni nature, nk nk
Rabbon ninakudokeza kuwa, hiki kipigo Dunia inachopokea ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.