Nimekusikia ukiwa Musoma,eti kwa sasa mapato yameongezeka na hakuna anayeporwa fedha, hizi ni siasa maji taka, na kwa taarifa yako kumgusa hayati MAGUFULI ni kujidhalaurisha kwa watanzania makini...
Kwa Maoni yangu GENTAMYCINE ( Rais wa Wapenzi wote wa Bendi ya Wenge Musica BCBG JamiiForums nzima ) japo niliumia sana kwa Bendi hii Kuvunjika na kila Mtu Kuunda Wenge Musica yake yaani JB Mpiana...
Hapa ni mahala salama kwa mpenzi wa Dream League Soccer(DLS). Game hili limetengenezwa na Kampuni ya FIRST TOUCH SOCCER(FTS). Game la DLS ni game bora zaidi kwa sasa duniani kwa upande wa soccer...
Habari maswahiba, sio jambo baya tukipeana mawili matatu kwenye fursa na ujuzi wa biashara ili endapo mmmoja wetu atahitaji kufanya biashara hiyo awe na mwanga kidogo.
twende moja kwa moja kwenye...
Habari za muda huu.......
Kumeripotiwa milipuko mikubwa kadhaa ndani ya Iran, Syria na Iraq..........
====
Israeli missiles have reportedly hit the Iranian city of Isfahan
Israeli...
Kabla ya Iran kutawaliwa katika mfumo wake wa sasa wa Ki- Ayatollah ilikuwa ikitawaliwa kwa mfumo aina fulani karibia na Ufalme hivi ambao watawala wake walikuwa wakiitwa Shah.
Mashah wawili wa...
Habari wana JF
Matumaini yangu wote mko poa kabisa.
Uzi huu ni kwaajili ya wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za...
Wakuu,
Wewe mbunge unajua upo hapo kuwakilisha wananchi, au unawakilisha kundi fulani kama watu wenye ulemavu nk, lakini mwanzo mwisho mama ametenda hiki, mama ametenda kile, hakuna kama yeye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.