Diamond baada ya kulalamika kuwa kampuni ya Ziiki Media haitakiwa watoe wimbo wake na hivyo wanampango wa kuhuishusha lebel hiyo na mziki wake na wasanii wake!
Kampuni hiyo nayo imemjibu Diamond...
Ni muhimu vijana kuwa Wazalendo, Tanzania ni yetu wala sio ya Wakenya, Tanzania itajengwa na Watanzania tu.
Vijana ni muhimu kusimama na Serikali yenu, Hakuna kiongozi yeyote ambaye anafanya...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Rufiji linamchunguza aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia (DED), Mkoa wa Pwani, Kassim Ndumbo kwa tuhuma za kufanya ngono na mfanyakazi...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba yale Maandamano yatakayofanyika Dunia nzima, ya kupinga Ugumu wa Maisha Nchini Tanzania na ambayo pia yanapinga Sheria mbovu za Uchaguzi nchini humo, Ratiba...
Kumekuwa na visa vingi vya kuvunjika kwa ndoa hasa ndoa changa huku wivu na usaliti baina ya wanandoa vikitajwa kuwa vyanzo vikuu.
Labda ni wakati muafaka kwa mafunzo ya jando na unyago...
Nimepiga energy ya Azam tokea saa sita hadi sasa hivi wala hakuna njaa nasikia
Nadhani kinywaji hiki itasadia wengi Ila tafadhalini usinywe zaidi ya mbili kwa siku
Leo Sina pesa kabisa ya kula...
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema “Baada ya kusikiliza kwa kina maelezo ya Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenari Venance Mabeyo aliyoyatoa Machi 16, 2024, nimeshawishika na ninawashawishi Wabunge...
Sio siri kuwa shauku ya mh Januari Makamba kuutaka urais ni kubwa sana pengine zaidi ya ile shauku ya mh Lowasa. Lakini kwa bahati mbaya mapito yake hayatatofautina na yale ya Mh Lowasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.