Kesho Ni ijumaa kuu kwa kifupi Ni njia ya msalaba bwana yesu wetu kristo alipitia ktk mateso yake
Najuwa hatutakula nyma kabsa je Ni hatari na haramu nikila samaki
Msaaada naombeni
Daktari Magufuli aliwaachia madaktari waamue kuhusu chanjo ya Corona lakini Dr. Samia alihamasisha tena kwa kuchoma hadharani.
Dr. Magufuli hakusafiri sana nje ya nchi na kuwaachia mabalozi wa...
Chukulia mfano suala la sex, ile ni starehe ya wote lakini dunia imekua brainwashed kwa kuaminishwa mwanaume anafanyiwa favor ambayo in return inatakiwa kulipia posho, hii posho ya sex wadada wa...
Kuna vitu ambavyo watu wengine wanaona kama trend au kawaida ila Mimi siwezi kufanya au kumiliki.Mfano kuweka na mito mingi kwenye kitanda,kuwa na Snapchat kwenye simu au account ya TikTok n.k...
Ninaongea nikiwa na uhakika, michezo hii naifahamu vizuri, Simba anaua kesho vizuri tu.
Na kama mwarabu atachomoka kesho, mimi 1979magufuli natangaza rasmi kuagana na jamiiforums.
Iwe jua iwe...
Bandari imeshindikana Hadi mmewapa DP world!
Sasa na mabasi Tena jamani!!?haya mabasi ya mwendokasi TU haya yamewashinda serikali!!?yaani nchi imeshindwa kusimamia mabasi TU yaani imeshindwa...
Tupiamo chako, iwe ulialikwa kwenye sherehe, umepiga nacho selfie (hata kama hujala) umedoea! Umenunua, hata kama ni cha mchepuko ama nyumba ndogo cha hotelini msibani... Popote pale wee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.