Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
923 Reactions
1M Replies
39M Views
Na. David Kafulila NIMELAZIMIKA kushika kalamu ikiwa ni baada ya kusukumwa na andiko la ndugu na jamaa yangu wa miongo mingi na aliyepata kuwa Mbunge wa Jimbo la Ubungo...
32 Reactions
167 Replies
5K Views
Kauli zozote za kishujaa kuhusu muungano ni nakili kutoka kwa waasisi wa mataifa haya mawaili ! Huenda labda kwa wakati huo muungano ulikuwa na manufaa lakini sio sasa! Kama nyumba ya zamani...
3 Reactions
8 Replies
75 Views
Salaam, Shalom!! Jana 2/1/2024, wamesikika viongozi wawili wa chama Cha MAPINDUZI Mzee Kinana na Ndugu Majaliwa Kassim,wakiibua HOJA ya kuzuia wagombea na watia Nia wengine ndani ya chama...
3 Reactions
62 Replies
3K Views
Hi kauli ya marehemu iliyowai kuzua gumzo kila Kona ya nchi na nnje, jamaa alishiba pesa za kusaga akaanza kutoa kauli zenye utata, ati mwanamume lzm uwe na pesa ndio umuoe binti ake yaani uwe...
9 Reactions
124 Replies
2K Views
Wapo walioapa kuilinda na kuitetea katiba lakini wanasema muungano uvunjwe. Haya ni madhara ya mtu kuapa dhidi ya kitu asochokielewa. Mtu anaapa kuilinda katiba je hiyo katiba anaielewa? Nimara...
0 Reactions
3 Replies
120 Views
Wadau hamjamboni nyote Mungu amlaze mahala pema peponi mpiga picha na sajenti rose nyawira wa Jeshi la Kenya aliyefariki kwa ajali majuzi.
7 Reactions
18 Replies
766 Views
Furaha Dominic anashitakiwa kwa kosa la kurekodi video zisizo na maadili za viongozi mbalimbali kisha kuzitumia kujipatia pesa kwa kuwatisha (blackmailing). Furaha Dominic ni yule kijana ambaye...
18 Reactions
128 Replies
8K Views
PhD iwe ya kuingia darasani na kutoa andiko, kutoa andiko, au ya heshima zote zina sifa moja inayofanana. Sifa hiyo ni kutunukiwa na chuo husika baada ya kutimiza vigezo na masharti yao. Walio na...
3 Reactions
40 Replies
2K Views
Wengi huwa wanapata shida kujua utofauti wa haya maneno hususan pale unaponunua bidhaa na kukuta nyingine imeandikwa 'Made in UK, nyingine 'Made in England' nyingine 'Made in Great Britain'. Sasa...
1 Reactions
1 Replies
2 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,089
Posts
49,473,939
Members
666,584
Latest member
Johnbosco4256
Back
Top Bottom