Habari JF Ili mjue nani mwamba Kati ya Iran na Israel fuatana na mimi twende pamoja.
IRAN NA ISRAEL,NANI MWAMBA?
Tarehe 13/04/2024,Islamic Revolutionary Guards Corps (IRGC) ambayo ni tawi la...
Chama cha Mapinduzi (CCM) kupitia kwa Makamu Mwenyekiti wake Tanzania Bara, Abdulurahman Kinana kimesema Rais Dk. Samia Suluhu Hassan anafanya mambo makubwa ya maendeleo kwa Watanzania ikiwamo...
Mzee Emil Lesheya Woiso amefariki leo asubuhi. Msiba upo nyumbani kwake Tegeta karibu na IPTL.
Alikuwa mmiliki wa Tarakea Restaurant pale Mwenge na Cornelius Girls Secondary School pale Tegeta...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Kuna unyanyasaji nilioushuhudia ubalozi wa Marekani nilipoenda kushughulikia visa.
Kwanza pale getini, unaambiwa unaacha kila kitu huingii na chochote! Ila cha kushangaza, hawajaweka hata sehemu...
📍Mwanza
▪️MADAKTARI SEKOUTOURE WAFANIKISHA KUTOA JIWE LA GRAM 800 KWENYE KIBOFU CHA MKOJO
Madaktari wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza Sekoutoure wamefanikiwa kufanya upasuaji na kuondoa...
Full name: Chelsea Football Club
Nickname(s): The Blues, The Pensioners
Founded: 10 March 1905
League: Premier League
Website: ChelseaFC.com
Ground: Stamford Bridge, (Capacity...
Kwa wadau wa siasa na upepo unavyoelekea, nimeona ziara za CDE Dkt. Nchimbi na CDE Makala hakika wanakusanya watu wachache sana na hawana hoja za mikutano na wala ajenda zao hazieleweki. Utasikia...
Za jioni wadau,
Naomba mchango wa mawazo yenu, nikiwa na milioni 170 za kitanzania naweza wekeza wapi pesa hii nikapata rejesho lenye tija?
Kwangu mimi rejesho lenye tija ni angalau milioni 2...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.