Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Tanzania yote kuanzia kwa wenyeviti wa vitongoji, wenyeviti wa vijiji/Mitaa, madiwani, wabunge na Rais, kwa asilimia tisini na tisa nukta tisa tisa (99.99) wanatokana na Chama cha Mapinduzi. Kwa...
1 Reactions
17 Replies
74 Views
Huyu kiongozi wa UVCCM huko Kagera aliyesema atawapoteza Wapinzani na polisi wasiwatafute kama atakuwa bado yuko ofisini mpaka kufikia leo jioni baada ya kumsikia Katibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi...
7 Reactions
22 Replies
532 Views
Hakika dawa ya mtu muongo huwa ni fupi sana. Kumekuwepo na propaganda chafu zikienezwa kwa makusudi na watu kutoka CCM kwa makusudi ili kuleta mpasuko ndani ya CHADEMA. Wanasema eti Msigwa...
0 Reactions
6 Replies
360 Views
Habari wakuu, najua wengine humu tayari mmesha oa au ni wazazi tayari. Ningependa mtupe uzoefu wenu, kuwa uli jisikia vipi kwa Mara ya kwanza baada ya kugundua wewe ni mzazi mtarajiwa. Kuna kipi...
10 Reactions
153 Replies
1K Views
Habarini za wakati huu memberz wenzangu. Nimekuja humu kuomba ushauri/ tiba ya ugonjwa unaonisumbua. Ni takriban mwezi wa 6 huu nagusa mfano wa kipele/kinundu kirefu kinachouma ndani ya uke...
3 Reactions
51 Replies
812 Views
Nimeshangazwa sana na uwezo wa Iran kurusha makombora juu ya Bunge la Israeli "Knesset". Tumezowea Hamas na Hezbollah hata wakipiga rocket tutasikia maeneo ya mipakani huko na miji ya pembezoni...
11 Reactions
42 Replies
1K Views
Tokea nizaliwe sijawai kusikia mtu anatoka mjini anaenda kutafuta maisha kigoma, sumbawanga, Gairo, Mara, Ruvuma, Mtwara, Singida n.k. Simaanishi kwamba hakuna watu wenye pesa lakini naona kama...
8 Reactions
47 Replies
2K Views
Habari wanajamvi, Natumai siku hii ya alhamisi imeenda vizuri. Binafsi Mungu amenipa uzima na nia ya kuandika hivi nnavyotaka kuvidondhosha hapa. Nilikuwa namsikiliza dada mmoja Youtube leo...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Ndugu zangu Watanzania CHADEMA imejaa watu wabinafsi sana,watu wenye roho mbaya,watu wenye mioyo migumu kama zege lililokaukia Juani. CHADEMA siyo chama ambacho unaweza kukiweka hata kwenye...
4 Reactions
172 Replies
834 Views
Kwa wale ambao Huwa mnauliza wapi mnaweza kuwekeza na kufungua biashara basi sogezi siti. Tanzania Ina Jumla ya Halmashauri za Majiji,Miji na Wilaya 184,kati ya hizo ni Wilaya 60 ndio Zina...
9 Reactions
265 Replies
6K Views

FORUM STATS

Threads
1,846,551
Posts
49,421,447
Members
665,973
Latest member
an gott glauben
Back
Top Bottom