Mimi sio mtume, nabii wala mtabiri,
Ila Uwezekano wa niliemtaja kuingia kwenye kundi la kina Benard Morrison, Emmanuel Okwi, Beno Kakolanya, Juma Kaseja, Mrisho Ngassa, Amri Kiemba, Athuman Idd...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Udahili umeanza, Chuo Kikuu Huria Tanzania na vyuo vingine hapa nchini.
Tuna chuo kimoja hapa nchini na Afrika Mashariki kwa ujumla kinachotoa elimu wazi na Masafa(Open and distance learning)...
Enzi hizo Sinza kila baada ya nyumba kadhaa unakutana na sehemu ya ulevi, iwe grocery flani hivi ama baa.
Sinza ilikuwa na baa maarufu kama Hongera, B-Bar, Lego, Vatican City, Waungwana...
Wadau nimekuwa napitia matukio mbalimbali ya Bw Bashite ya Siku za nyuma. Miongoni mwa Matukio yalionisikitisha ni pamoja na haya Mawili aliyoyafanya kwa WAZEE wetu VIONGOZI wakubwa Walioitumikia...
Wakuu,
Kuna video nilikutana nayo huko mtandaoni (nimeangalia sijaiona), huyo dada alikuwa anasimulia jinsi rafiki yake alivyokufa baada ya kung'atwa chura. Chura huyo alikuwa ndani ya kiatu...
Kuna jumbe mbalimbali za maandishi zimeanza kusambaa kwenye page za wapinzani zikionyesha askari wa polisi wakilalamika kwamba baada ya kufanya kazi miaka 30+ wameambulia kikokotoo kisichozidi...
Msumbiji: Mtanzania miongoni mwa watu 16 wanaotuhumiwa kuunga mkono ugaidi
Ofisi ya mwendesha mashtaka wa umma wa Msumbiji imemtaja mwanamke Mtanzania miongoni mwa watu 16 walioshitakiwa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.