Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Salaam Wakuu,
Natumai nyote mpo salama. Nimeleta uzi huu kama sehemu ya kujihamasisha mimi na kuwahamasisha wengine kufanya mazoezi Soma: Umuhimu wa kufanya mazoezi
Natambau wengi wetu...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba yale Maandamano yatakayofanyika Dunia nzima, ya kupinga Ugumu wa Maisha Nchini Tanzania na ambayo pia yanapinga Sheria mbovu za Uchaguzi nchini humo, Ratiba...
Mahakama ya wilaya ya Temeke yavunja ndoa ya kikristo kati ya Salome Laurian Maganga na Bwana Michael Peter Motau baada ya ushahidi kuonesha bwana harusi hana uwezo wa kushiriki tendo la ndoa...
Napenda kujua ni kwa namna gani wajerumani walitumia kuyapa majina haya maeneo ya Tanganyika enzi za ukoloni majina ya kijerumani?
German placenames
Most place names in German East Africa...
Kutoka kwa mchambuzi wa masuala ya soka, Edo Kumwembe ambaye amefunguka sakata la mshambuliajiwa Pyramids Fc ya Misri, Fiston Mayele kuwatupia madongo waajiri wake wa zamani, Klabu ya Yanga...
Pwani, Bagamoyo na Morogoro wapi naweza ng’ombe wa maziwa wakuuza?
Wengi naona ni janda za juu na kaskazini.
Nipe location au contacts kwa anaejua please!
Haya Sasa, huko Simba hali ni mbaya sana. Try Again anairoga Simba ifungwe ili Mo aachie timu.
Upande wa Mo na wenyewe unaonekana kuhaha Hadi Cameroun kusaka ushondi dhidi ya Yanga ili kuwapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.