Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hizi gari watu wamezishobokea kindezi. Lilikua ni suala la muda tu kuanza kutelekezwa kwenye gereji zetu uswazi.
9 Reactions
88 Replies
9K Views
Zingatia hicho kichwa hapo juu Wanaume wengi muna tembea na laana za wanawake ndio maana wengi wenu hamfanikiwi kiuchumi wala kiroho na hata mkifanikiwa hamli matunda ya mafanikio yenu muna kufa...
22 Reactions
146 Replies
3K Views
Wakubwa ni habari za wakati huu... Naombeni ufafanuzi wa biashara au fursa za biashara zilizopo maeneo ya mipakani mwenye utaaramu au amewahi kufanya biashara yoyote maeneo ya mipakani tafadhali...
0 Reactions
1 Replies
30 Views
Ni kitinda mimba wangu. Amepata kazi Serikalini kwenye Halmashauri moja Mkoani Shinyanga na pia kwenye Shirika linaitwa Good Neighbors Tanzania. Mishahara ni kama inalingana, aende wapi? Naomba...
5 Reactions
84 Replies
2K Views
Kulikuwa na timu iliyoitwa Everton kutoka kitongoji cha Merseyside cha jiji la Liverpool nchini England. Timu hii ilikuwa ikitumia uwanja wa Anfield, uliokuwa ukimilikiwa na mwenyekiti wa bodi ya...
1 Reactions
4 Replies
160 Views
Hiyo ni salamu wanaume tunapokutana, hasa pub, cafe au kwenye jumuiko lolote... Haya semeni kati ya hayo mawili, lipi linawasumbuwa?
1 Reactions
10 Replies
100 Views
Unapotenguliwa fahamu kuwa ni muda uliotimia wewe kuwa mtumishi. Fikiri mengi lakini zungumza machache, Sikiliza wengi lakini jibu wachache, Andika mengi lakini ya ibada na shukurani,
3 Reactions
6 Replies
265 Views
Dar ni sehemu yenye raha nyingi kama kulivyo na karaha nyingi pia. Japo kwangu nikipima naona karaha ndio zimezidi. Ni kawaida sana kukuta misururu ya foleni ya watu wakigombea usafiri tena...
1 Reactions
11 Replies
184 Views
Mbunge wa Konde ( ACT Wazalendo) Mohamed Issa amelalamika bungeni Ajira za Wazanzibar kuchukuliwa na wageni Mohamed Issa amesema ni uonevu mkubwa Wazanzibar kuporwa Ajira Zao. Mlale Unono 😀😀 ---...
1 Reactions
17 Replies
475 Views
Zamani tuliweza kuteta mawili matatu na jirani huku kila mmoja akiwa kibarazani kwake. Hii iliboresha sana mahusiano na umoja wetu wa kiafrika. Sasa huyu jirani sijui kenge gani kamshauri...
14 Reactions
27 Replies
917 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,309
Posts
49,481,856
Members
666,698
Latest member
ma6ajabu
Back
Top Bottom