Kuna mambo Mawili muhimu Sana
Mosi: Amri ya kukamatwa Meya wa zamani wa Ubungo mh Boniface Jacob na Mwanaharakati mwingine wa Chadema mh Malisa iliyotolewa na Kamanda wa Kanda maalum ya DSM juu...
Wana familia wa JF,
Humu ndani naamini wapo Watanzania ambao wanaishi Marekani kwa nguvu ya GREEN CARD.
Kwa faida ya wengi, naomba yeyote anayejua au amefanikiwa kuwa na Green Card ya Marekani...
Habarini,
Juzi kati nlitafakari kwanini utakuta binti mzuri tu mashallah, she is young, pretty, hana mtoto, unamfata unamtongoza anakukataa, unakubali maamuzi yake kiroho safi unaendelea na mishe...
Hongera kwa Kila Raia wa Tanzania kwa kukuza Uchumi wako binafsi,
Hii GDP inapatikana kwa kugawa jumla ya uchumi wa mtu mmoja mmoja kwa jumla ya Idadi yetu.
#Samia hakamatiki
====
Below are...
Khanga Kubwa za Zanzibar zinapatikana.
Bei sh 20,000 kila moja.
Tunapatikana tabata kinyerezi dar es salaam.
Ni biashara ya Mtandaoni, ukiagiza tunafanya delivery.
Mawasiliano 0784 829565
Tarehe 13 April, Meya Mastaafu wa Manispaa ya Ubungo, Boniphace Jacob alitoa taarifa ya kupotelewa na ndugu yake Bw. Robert Mushi maarufu kama Babu G, ambaye alipotea mapema mwezi April 2024...
BASHUNGWA ASHIRIKI MAOMBI NA DUA YA KULIOMBEA TAIFA
Waziri wa wa Ujenzi Innocent Bashungwa, ameungana na Watanzania kushiriki Siku ya Maombi na Dua ya kuliombea Taifa katika Maadhimisho ya...
Mbunge wa Konde (ACT Wazalendo), Mohamed Said Issa ameitaka Serikali kurejesha upya utaratibu wa watu wote wanaoingia Zanzibar kuwa na hati ya kusafiria.
Akichangia makadirio ya mapato na...
Habari zenu wandugu, naomba kaushauri kidogo
Kuna demu nilikuwa na mahusiano naye kabla ya yeye nilizaa na mwanamke mwingine.
Huyu demu ambaye bado sikuzaa naye alinikubari sana kifupi wote hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.