Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
916 Reactions
1M Replies
38M Views
Hii comment murua kabisa kutoka kwa bwana denoo JG kukemea kinachoendea huko Zanzibar. Yanayoendelea Zanzibar tusubiri majibu ya Wahanga na kuzaa gharika Ameanza na ushauri Tatizo upeo tu, wale...
0 Reactions
3 Replies
18 Views
Chukulia mfano suala la sex, ile ni starehe ya wote lakini dunia imekua brainwashed kwa kuaminishwa mwanaume anafanyiwa favor ambayo in return inatakiwa kulipia posho, hii posho ya sex wadada wa...
30 Reactions
143 Replies
2K Views
Kwanini wanawake wa kizungu wanaweza kuvaa vikaptula au nguo fupi sana zinazoacha sehemu kubwa ya maungo yao wazi na wakatembea mitaa kama ya Kariakoo bila shida yoyote au kusumbuliwa na Wanaume...
16 Reactions
104 Replies
4K Views
Ukidumu katika video inayosambaa utagundua hasira ya wazsnzibar vs wabara kuna chuki inayofichwa. Ninkama moshi unaofula chini kwa chini. Moto utakuja kuzagaa chini na ukafika kwa wananchi. Kuwe...
1 Reactions
1 Replies
2 Views
Upendo ndiyo Nguzo ya Mafanikio yetu-Kikwete (MB) Maneno hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani...
0 Reactions
1 Replies
34 Views
LAPTOP ZA BEI NAFUU ZAIDI KWA PICHA ZA LAPTOP NICHEK INBOX NITUMIE JINA LA LAPTOP HP PROBOOK X360 ITEL SSD 128 RAM 4GB BEI 335,000 🔥🔥🔥🔥 DELL 3189 SSD 128 RAM 4GB BEI 350,000🔥🔥🔥🔥 HP 640G1...
0 Reactions
5 Replies
162 Views
Leo ni siku ya ijumaa, al hamdu liLlah nimesali pamoja na waislamu wenzangu, nasubiri muda wa iftar ufike kisha sala ya ISHAA then TARAWEEH inshaa Allah Ila nitasikitika sana sana Ndugu zangu...
4 Reactions
17 Replies
177 Views
Salaam, shalom, Mheshimiwa Mnyika amewahi kuhojiwa na kusema kuwa, Mh Mbowe ndiye aliyeshauri RANGI nyekundu iongezwe katika RANGI za Bendera ya CHADEMA, kwamba RANGI nyekundu inaashiria Upendo...
0 Reactions
13 Replies
251 Views
Humu kuna watu wengi sana. Nilipiga kutokana maelezo ya baadhi waliojielezea kwa mf bado miaka 3 astaafu. Inamaana huyu ni 57 years. Je kuna uwezekano wapo wa 80years of age?
2 Reactions
6 Replies
35 Views

FORUM STATS

Threads
1,840,628
Posts
49,207,902
Members
664,059
Latest member
Proces Tech
Back
Top Bottom